Mkuu huyo ni mkongwe kwenye mambo hayoNilichokugunduwa ni kwamba huna unachojuwa kuhusu safari wala south Africa.
Nilitaka nijiridhishe kitu na nimeshajuwa nabishana na fala mmoja qmbaye hata Nairobi hajawahi fika.
Huenda ikawa upo kwenye kigenge chako cha viazi na nyanya
Unatuletea porojo za Safari za nje
goroko77 hapo vipi?Wafanyabiashara watatu, Goodness Remy mkazi wa Salasala, Emmanuel Chigbo Mkazi wa Goba na Paulina Mwanga mkazi wa Kibaha wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na Mashtaka ya Uhujumu Uchumi.
Wakili wa Serikali, Frank Michael, ameiambia Mahakama kuwa, washtakiwa walitenda kosa hilo Aprili 19, 2023 eneo la Salasala, Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo walikutwa na Dawa aina ya Heroin.
Upande wa Jamhuri uliomba Mahakama kupanga tarehe nyingine kwasababu upelelezi haujakamilika. Kesi imeahirishwa hadi Juni 1, 2023 na washtakiwa wote wamerudishwa Mahabusu kwa kuwa kesi yao haina dhamana.
MWANANCHI
Kuna kitu kinaitwa inventory sio lazima ulete madawa mahakamani. Wala polisi hawapeleki madawa kama kielelezo mahakamani isipokuwa kuna inventory huwa inajazwa na wataalam./ Inventory ni form maalum.Kuna mwana mmoja alikaa ndani kitambo sana alikamatwa port
Sasa mtiti huko mbeleni ikawa walete
Kidhibiti [emoji1]
Jamaa kidhibiti walishakinywa muda tu,jamaa alishikilia hapo hapo mpaka anakuja kutoka
Ila kuna kitu umecmnt,wajelajela wanakuwa vzr sana kwenye sheria
Na haki zao
Ova
Ushamba unakusumbua sisi wengine safari ni kitu cha kawaida tu mkuu...SA ni kama natoka Magomeni naenda Kariakoo uliza kitu chochote kuhusu Johannesburg au Cape Town utasaidiwa sio mambo ya kutaka sifa kwenye mitandao wakati huna unachokijua...SA sio sehemu ya kulingishia mazee labda kwa washamba wanaona ni sehemu ya maana sana...Nilichokugunduwa ni kwamba huna unachojuwa kuhusu safari wala south Africa.
Nilitaka nijiridhishe kitu na nimeshajuwa nabishana na fala mmoja ambaye hata Nairobi hajawahi fika..
Huenda ikawa upo kwenye kigenge chako cha viazi na nyanya
Unatuletea porojo za Safari za nje
Ameshangaa sana eti mtu kuwa na ID na Passport ya SA kweli Tanzania ina watu wamelala sana akiambiwa na password zingine humu atatema mate kama koboko...Mkuu huyo ni mkongwe kwenye mambo hayo
Ubaharia unakusumbua Faza na usipokua makini kila mtu akifanya kitu utaona akiwezekani kama Pretoria kwako nimewahi kuishi hapo Jacob Marley Street na kule Sunnyside kabla haijavamiwa na Wapopo....na kuwatembelea wabongo kule kwa Msomali miaka hiyo...Mkuu labda ngoja nijitambulishe.
Name -Mwandende
Gender -male
Age. -44
Professional -seafarer
Hobie ; travel around the world.
2000- india/iran
2005-Madagascar
2006 -Japan
2009-Turky
2010 -Greece.
2015-spain/Italy
2017-swiss
2019 france
Na hapa nipo kwenye Mapambano ya maisha inje ya inchi..
Durban/Pretoria SA ndy nyumbani..
Niliku challenge nimegunduwa huna unachojuwa kuhusu safari.
Jacob Marley and Prinslow street,,Ubaharia unakusumbua Faza na usipokua makini kila mtu akifanya kitu utaona akiwezekani kama Pretoria kwako nimewahi kuishi hapo Jacob Marley Street na kule Sunnyside kabla haijavamiwa na Wapopo....na kuwatembelea wabongo kule kwa Msomali miaka hiyo...