Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

Nilichokugunduwa ni kwamba huna unachojuwa kuhusu safari wala south Africa.

Nilitaka nijiridhishe kitu na nimeshajuwa nabishana na fala mmoja qmbaye hata Nairobi hajawahi fika.
Huenda ikawa upo kwenye kigenge chako cha viazi na nyanya
Unatuletea porojo za Safari za nje
Mkuu huyo ni mkongwe kwenye mambo hayo
 
Wafanyabiashara watatu, Goodness Remy mkazi wa Salasala, Emmanuel Chigbo Mkazi wa Goba na Paulina Mwanga mkazi wa Kibaha wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na Mashtaka ya Uhujumu Uchumi.

Wakili wa Serikali, Frank Michael, ameiambia Mahakama kuwa, washtakiwa walitenda kosa hilo Aprili 19, 2023 eneo la Salasala, Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo walikutwa na Dawa aina ya Heroin.

Upande wa Jamhuri uliomba Mahakama kupanga tarehe nyingine kwasababu upelelezi haujakamilika. Kesi imeahirishwa hadi Juni 1, 2023 na washtakiwa wote wamerudishwa Mahabusu kwa kuwa kesi yao haina dhamana.

MWANANCHI
goroko77 hapo vipi?
 
Kuna mwana mmoja alikaa ndani kitambo sana alikamatwa port
Sasa mtiti huko mbeleni ikawa walete
Kidhibiti [emoji1]
Jamaa kidhibiti walishakinywa muda tu,jamaa alishikilia hapo hapo mpaka anakuja kutoka
Ila kuna kitu umecmnt,wajelajela wanakuwa vzr sana kwenye sheria
Na haki zao

Ova
Kuna kitu kinaitwa inventory sio lazima ulete madawa mahakamani. Wala polisi hawapeleki madawa kama kielelezo mahakamani isipokuwa kuna inventory huwa inajazwa na wataalam./ Inventory ni form maalum.
Madawa huwa yanateketezwa
 
Nilichokugunduwa ni kwamba huna unachojuwa kuhusu safari wala south Africa.

Nilitaka nijiridhishe kitu na nimeshajuwa nabishana na fala mmoja ambaye hata Nairobi hajawahi fika..
Huenda ikawa upo kwenye kigenge chako cha viazi na nyanya
Unatuletea porojo za Safari za nje
Ushamba unakusumbua sisi wengine safari ni kitu cha kawaida tu mkuu...SA ni kama natoka Magomeni naenda Kariakoo uliza kitu chochote kuhusu Johannesburg au Cape Town utasaidiwa sio mambo ya kutaka sifa kwenye mitandao wakati huna unachokijua...SA sio sehemu ya kulingishia mazee labda kwa washamba wanaona ni sehemu ya maana sana...
 
Mkuu labda ngoja nijitambulishe.

Name -Mwandende
Gender -male
Age. -44
Professional -seafarer
Hobie ; travel around the world.
2000- india/iran
2005-Madagascar
2006 -Japan
2009-Turky
2010 -Greece.
2015-spain/Italy
2017-swiss
2019 france
Na hapa nipo kwenye Mapambano ya maisha inje ya inchi..

Durban/Pretoria SA ndy nyumbani..

Niliku challenge nimegunduwa huna unachojuwa kuhusu safari.
Ubaharia unakusumbua Faza na usipokua makini kila mtu akifanya kitu utaona akiwezekani kama Pretoria kwako nimewahi kuishi hapo Jacob Marley Street na kule Sunnyside kabla haijavamiwa na Wapopo....na kuwatembelea wabongo kule kwa Msomali miaka hiyo...
 
Ubaharia unakusumbua Faza na usipokua makini kila mtu akifanya kitu utaona akiwezekani kama Pretoria kwako nimewahi kuishi hapo Jacob Marley Street na kule Sunnyside kabla haijavamiwa na Wapopo....na kuwatembelea wabongo kule kwa Msomali miaka hiyo...
Jacob Marley and Prinslow street,,
Tavena Pub maskani ya wabongo ,,
brown street and Prinslow kwa msomali .

Kote ndy michezo yngu..

Kwa kifupi hii namba chafu mkuu..
Kwa kuwa umetaja mitaa yng RSA basi salute mkuu..
 
Back
Top Bottom