Wafanyabiashara weusi Tanzania, pelekeni watoto India wasome shahada za family business ili mkifa biashara zisife

Tutakapojenga mfumo wa wanawake kuchuma nje kuleta kwa mume na familia then itakuwa rahisi kuishape mentality ya mwanaume kuwa kila anachochuma anaweza share na familia yake wakajua kila kitu.

Hawa wanawake wetu wakishajua mzunguko wako wa pesa, salio la benki na taarifa za account, wakasoma connection zako za biashara na kujua mbinu zote, hawawazi mara mbili kukumaliza na kuwajaza watoto sumu ili wao wachukue mali wapite hivi na watoto.
 
Huo mfumo mbona upo tayari?
Hiyo ya mwanamke kujaza watoto sumu ....bidii inatakiwa kuchangua mwenza mwaminifu na mwenye maono ya mbali na mapenzi ya dhati kwako wewe kama mume. Anaeona kuwa mafanikio yako Ni mafanikio ya familia nzima.
 
Biashara zetu tatizo ujanja ujanja mwingi, watu wanakwepa kodi, hawacomply na sheria na ndio maana wazee wakifa na zenyewe chalii
 
Na hivyo ambavyo baba wa Africa haviamini ni kweli vinaleta shida.

Kama ni watoto utakuta wanaacha hata shule ili wa-spend na kujirusha na fedha za baba. Sijui tupo vipi sisi ngozi nyeusi.

Ukimsaidia mtu na kumuingiza katika biashara yako anaifirisi na hata yeye alichoambulia unakuta ni sawa na hakuna kwa sababu aliiba na kuwa na matumizi mabovu.
 
Huo mfumo mbona upo tayari?
Hiyo ya mwanamke kujaza watoto sumu ....bidii inatakiwa kuchangua mwenza mwaminifu na mwenye maono ya mbali na mapenzi ya dhati kwako wewe kama mume. Anaeona kuwa mafanikio yako Ni mafanikio ya familia nzima.
True mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…