Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Tutakapojenga mfumo wa wanawake kuchuma nje kuleta kwa mume na familia then itakuwa rahisi kuishape mentality ya mwanaume kuwa kila anachochuma anaweza share na familia yake wakajua kila kitu.That's the cultural difference! Baba was kiakfrika hata access ya bank account hataki mkewe na watoto wawe nayo, anaona bora akifariki na biashara ifungwe tu kuliko wengine kufaidi mfano, mjane wake Ku enjoy mali zake na mwanaume mwingine, sababu ndo mawazo yake yanampeleka hapo. Control from the grave.
Badilikieni wanaume! Ndo wale wale wanaoachisha wake zao kazi sababu wanataka kuchunga mke, result ni familia inakuwa na income moja badala ya mbili. Akitangulia mbele what happens to his family??
Badilikeni.
Hawa wanawake wetu wakishajua mzunguko wako wa pesa, salio la benki na taarifa za account, wakasoma connection zako za biashara na kujua mbinu zote, hawawazi mara mbili kukumaliza na kuwajaza watoto sumu ili wao wachukue mali wapite hivi na watoto.