Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 3,338
- 6,327
Aliyegundua hii combination Mungu amlaze mahali pema peponiBALIMI na maandazi mawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyegundua hii combination Mungu amlaze mahali pema peponiBALIMI na maandazi mawili
Aminaaliyegundua hii combination Mungu amlaze mahali pema peponi
Kwahiyo pia unataka kila Mtanzania azae watoto 8 kama Bakhressa??Kwenye business kuna area nyingi kuna marketing,finance, planning , production nk angalia hao watoto wa bakhresa walivyojipanga wamesoma maeneo tofauti tofauti lakini relevant kwa uendeshaji kampuni
Ikifika finance anasimama kipanga wa finance nk
Mimi nimetoa wapi wafanyabiashara waswahili waanzie wachukue degree za family business kampuni inavyokua waweza wengine kuanza kusomra specic areas ili kampuni iwe na watoto experts kwenye nyanja mbalimbali ndani ya kampuni
Mmi nashauri wapi waanzie kama sehemu ya kuanzia kwenye succession plan ku wa empower watoto kwa knowledge ya family business toka uhindini kwa wazoefu wa hizo biashara za fanilia
Ukweli mchunguHata wakisoma kazi bure..
-Baba ana acaunt kumi za bank zote hazijulikani na familia
-Baba ana biashara nyingine zaidi ya tatu zote hazijulikani na familia moja tu ndiyo inayo julikana na famili
-Baba wa kiafrica anaamini hakuna anaeweza kuendesha biashara yake tofauti na yeye
-Baba wa kiafrica haamini watoto wake mda wote anahisi kuibiwa..
Baba wa kiafrica haamini mawazo ya mtu mwingine zaidi na mawazo yake
wacha tu zife
Vyuo gani mkuu, ni digirii za sanaa au sayansi ya hizo biashara za familia?Zipo mkuu
Hata mimi ndio nasikia leo.Mimi hii degree ndio naisikia leo
Kwahiyo pia unataka kila Mtanzania azae watoto 8 kama Bakhressa??
Kama una mtoto mmoja au wawili wakasoma Finance na Business Admistration za UDSM au UDOM na sio hiyo family business ya India wao hawawezi kutengeneza Admistration structure na kwenye mapungufu wakahire watu wa kuziba hizo nafasi??
Pia unataka kusema hakuna watoto wa kiafrika (Kitanzania) waliofanikiwa kwa kuendesha biashara za familia??
Mkuu shida kubwa ya waafrika na wabongo wengi ni kutohusisha watoto kwenye biashara, na sio watoto tu mpaka mke wakati mwingine hajui chochote kuhusu biashara ya mmewe wala account zina pesa ngapi. Anashirikishwa tu kusign fomu za mikopo za benki..
Kweli kabisa, ukimshirikisha mwanao kwenye biashara zako tangu awali itamjengea uzoefu mapema na kufahamika vizuri na washirika wenzako wa biashara, hivyo hatashindwa kuiendeleza.Upumbavu tu hapa umeandika..
Mbona huyo Mo na watoto wa Bakhressa hawajasoma hizo family business bachelor na wamesoma US na UK??
Mzazi mshirikishe mtoto wako kwenye biashara zako tangia akiwa mdogo na uweke succession plan. Lakini pamoja na yote hayo msisitize asome kwa bidii ili aje asimamie hizo biashara. Hata akisoma Udom kama utakuwa umeweka msingi imara tangia mwanzoni hawezi kufeli
Hazipanuki walivyoaacha wazazi wao ziko hivyo hivyo!!! No New addition!!!!Mzee Ekenywa..
Kutoka EKENYWA ENT CLINIC hadi EKENYWA SPECIALISED HOSPITAL..
Baba alikuwa Daktari bingwa kwa Kinywa na Meno na akafungua hospitali pale Magomeni Mwembechai na Mtoto Dr Emmanuel naye kabobea kwenye Fani ya baba yake hivyo anasimamia hospitali vizuri kabisa...
Pili Kairuki Memorial Hospital ni Family Business..
Baba alikuwa Daktari na watoto na ni Madaktari...!
Hazipanuki walivyoaacha wazazi wao ziko hivyo hivyo!!!
Huenda mleta mada ametumwa kuitangaza huku kwenye nchi zetuMimi hii degree ndio naisikia leo
KiufupI Wazee wa Kiafrika wanapenda kuona watoto wakiteseka. Wanapokufa lazima watu wagawane sababu hakuna anayejua kuendesha biasharaHata wakisoma kazi bure..
-Baba ana acaunt kumi za bank zote hazijulikani na familia
-Baba ana biashara nyingine zaidi ya tatu zote hazijulikani na familia moja tu ndiyo inayo julikana na famili
-Baba wa kiafrica anaamini hakuna anaeweza kuendesha biashara yake tofauti na yeye
-Baba wa kiafrica haamini watoto wake mda wote anahisi kuibiwa..
Baba wa kiafrica haamini mawazo ya mtu mwingine zaidi na mawazo yake
wacha tu zife