Tetesi: Wafanyakazi Shule Maarufu Tabata- Dar es Salaam Kugoma Muda Wowote

Shule za Private kwa Secondary level...mzisamehe tu.

Zinaenda kupotea zote.
 
Tusiime hiyo,mtoa mada Kuna mambo umezingua pamoja na kuficha jina la shule.Sitashangaa hii habari kufutwa na mods ndani ya muda mfupi.
 
Kama ni hiyo kweli nilifanya chaguo sahihi kuhamisha vijana wangu..

Kuna mhasibu anaitwa Vincent Katagira ni mtu poa sana, kuliko yule wa wa kati kati.

Ila pale wahaya tupu, kweli wanaweza kumuhujumu mwenzao?
Hiyo shule ni akina Katagira alikuwaga mbunge wa Karagwe
 
Nyie maticha ni wajinga kwelikweli
Sasa unapigania haki YAKO
Lakini bado unafichaficha nini

Oyaa Mpwayungu Village endelea kuwapiga spana hawa mapomole
 
Ndo maana mpwanyungu [emoji23][emoji23][emoji23] huwa anaona hampo serious sasa humu ndani wote wajua Tabata?
 
Kama hawajuaa Mitihan ya Taifa nini wajarbu kugoma

Si kipnd salama kugoma kwa sasa hasa IDARA ZA ELIMU,

waambie wakanyeni watafute mda mwingne na wafate taratbu
 
Tusiime mwanzoni ilikuwa inafanya vizuri sana ila baadae sijui nini kilitokea hadi wakaamua kuachana na ishu za kitaaluma na kuamua kuangalia maokoto tu... inasikitisha sana.
Shule zote za private zinazo milikiwa na waswahili ndio zipo hivyo ndio maana nasema pelekeni watoto wenu Kayumba, huko private ni biashara tu na elimu haipaswi kuwa biashara
 
Kama ni hiyo kweli nilifanya chaguo sahihi kuhamisha vijana wangu..

Kuna mhasibu anaitwa Vincent Katagira ni mtu poa sana, kuliko yule wa wa kati kati.

Ila pale wahaya tupu, kweli wanaweza kumuhujumu mwenzao?
Hata mimi namkubali sana Kamara, mtu poa mnooo.
Hana maneno na mtu jamaa, tumpe maua yake kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…