The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Hivi tarehe hii ndiyo inakuwaga SIKU YA WAJINGA DUNIANI?MSAGA SUMU kwani leo ni tarehe ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi tarehe hii ndiyo inakuwaga SIKU YA WAJINGA DUNIANI?MSAGA SUMU kwani leo ni tarehe ngapi?
Wakaue tra na tpa kama walivyofanya ttclWakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni kwenda kuanza kazi maeneo mapya, lakini wafanyakazi wengi wameanza kupongezana kwenye magroup ya WhatsApp nk baada ya habari kuvuja kuwa wote watakuwa absorbed "vitengo' yaani bandarini na TRA.
Kila kheri ndg zetu.
Bongo cyber security ni ndogo ukiweka automous Mfumo wa mapato tugemea watu kucrack sana na kukwepa kabisa
Pia urasimu na mlolongo mrefu ambapo mamlaka nyingine zinatakiwa kuingiliana na TRA kimfumo mfano bandari yaani bandari bado kuwa automation kweny utendaji watawezaje kulink na TRA maana wao ndo sehemu kubwa ya mapato
angalia tareheMbona mapema hivyo
Sasa Mkuu Mainjinia wa TTCL wanatumia Bajaji kufika site unategemea kutakuwa na ufanisi hapo??TTCL ni ngumu kushindana na Tigo au Vodacom. Watu ni wavivu sana huko.
Na mwendokasi pia serikali waachie wameshindwa. Usafiri wa unyanyasaji raia. Kujaza raia kupita kiasi hadi kushindwa kupumua na mabasi kupaki sana vituo vya mwisho sasa maana yao ya rapid transport haipo . Jana sijui Kuna stori gari lao limegonga Mtu likampasua ubongo damu zikatapakaa road na raia wakafunga Barabara Kwa hasira maana jamaa wamezidi ajali Kila siku wanagonga raia! Halafu uwezo wao kipesa ni mdogo wana mabasi machache sana,! Hili shirika apewe hata Azam au GSM
Hapana TTCL kuna matumizi makubwaNampongeza mh. Rais "shirika linalonyonya fedha za bure bila kuzalisha chochote ni mzigo kwa serekali" na ni upuuzi kuendelea kuwa nalo,maana fedha zinazojazwa humo zingeweza kufanya mengine mazuri kwenye taifa letu.
N. B, TTCL MOBILE, ATAFUTWE MWEKEZAJI ATAKAYELIMUDU TUSIUE TTCL TELECOM MOJA KWA MOJA.
Mama hataki hata kuuniza kichwa kuendesha nchi ..kila kitu kikimshinda anahamishia private sectorWakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni kwenda kuanza kazi maeneo mapya, lakini wafanyakazi wengi wameanza kupongezana kwenye magroup ya WhatsApp nk baada ya habari kuvuja kuwa wote watakuwa absorbed "vitengo' yaani bandarini na TRA.
Kila kheri ndg zetu.
Huu nao ni ubunifu na uzalendoWapelekwe wakafundishe shule za msingi
Tarehe imefanyajeangalia tarehe
Wameula hao🙏mi5 Tena kwa mamaakeee😋Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni kwenda kuanza kazi maeneo mapya, lakini wafanyakazi wengi wameanza kupongezana kwenye magroup ya WhatsApp nk baada ya habari kuvuja kuwa wote watakuwa absorbed "vitengo' yaani bandarini na TRA.
Kila kheri ndg zetu.
Ndo zingine bana.Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.