Wafanyakazi TTCL kupelekwa TRA na bandarini

Wafanyakazi TTCL kupelekwa TRA na bandarini

Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni kwenda kuanza kazi maeneo mapya, lakini wafanyakazi wengi wameanza kupongezana kwenye magroup ya WhatsApp nk baada ya habari kuvuja kuwa wote watakuwa absorbed "vitengo' yaani bandarini na TRA.
Kila kheri ndg zetu.
Wanapelekwa halmashauri wote
 
Nadhani hii habari siyo kweli, isitoshe kuua TTCL Mobile kabisa siyo sahihi kwa maana bado kuna income ambayo haijapewa njia nzuri iweze kutiririka bali waliokuwepo walifanya ni mradi wao.

Apewe mwekezaji hii TTCL Mobile.
Nakazia
 
Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni kwenda kuanza kazi maeneo mapya, lakini wafanyakazi wengi wameanza kupongezana kwenye magroup ya WhatsApp nk baada ya habari kuvuja kuwa wote watakuwa absorbed "vitengo' yaani bandarini na TRA.
Kila kheri ndg zetu.

Watanzania ni kama tumerogwa
 
Nampongeza mh. Rais "shirika linalonyonya fedha za bure bila kuzalisha chochote ni mzigo kwa serekali" na ni upuuzi kuendelea kuwa nalo,maana fedha zinazojazwa humo zingeweza kufanya mengine mazuri kwenye taifa letu.
N. B, TTCL MOBILE, ATAFUTWE MWEKEZAJI ATAKAYELIMUDU TUSIUE TTCL TELECOM MOJA KWA MOJA.
Hii ndiyo akili ya CCM. Shirika halifanyi vizuri kwa sababu ya uongozi mbovu unaowekwa kuliongoza. Na viongozi wake wanateuliwa na CCM. Tujiulize: Mbona Vodacom, Tigo, Halotel etc zinafanya vizuri?
 
TTCL ni ngumu kushindana na Tigo au Vodacom. Watu ni wavivu sana huko. Huko Kuna mawazo mgando wazee wenye vyeo! Kuna mazee Yana vyeo serikalini ila akili hamna na hayapendi kustaafu ubunifu zero! huko govt Kuna urasimu na sheria za manunuzi my foot huwezi kushindana na ford brand new za tigo zikibrand kampuni mitaani! Mara sijui magari ya matangazo wadada wanapekecha!!
Hawa TTCL wameisha fungeni mashirika na mengine yaliyochoka!

Na mwendokasi pia serikali waachie wameshindwa. Usafiri wa unyanyasaji raia. Kujaza raia kupita kiasi hadi kushindwa kupumua na mabasi kupaki sana vituo vya mwisho sasa maana yao ya rapid transport haipo . Jana sijui Kuna stori gari lao limegonga Mtu likampasua ubongo damu zikatapakaa road na raia wakafunga Barabara Kwa hasira maana jamaa wamezidi ajali Kila siku wanagonga raia! Halafu uwezo wao kipesa ni mdogo wana mabasi machache sana,! Hili shirika apewe hata Azam au GSM
Moja ya drawback ya Monopoly system ni hiyo Taasisi zilizopewa dhamana ya kutoa huduma kwa jamii hufanya hivyo tu wanapojisikia yaani mradi liende no innovation at all
 
Back
Top Bottom