Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkapa aliweka msingi mzuri sana wa TRA, Kikwete akaheshimu Msingi huo …Alipoingia Mzalendo mpinga ufisadi akavunja hiyo Misingi akawakabidhi TRA kwa Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma…uko zako Halmashauri ya Maswi ukipata gawio la ujenzi wa shule za kata unakata fungu utumishi unaamkia TRA makao makuu kama Mkuu wa KitengoTRA wanaiharibu siku hizi Kwa kuchomekea wafanyakazi kutoka nje ya TRA.
Ikumbukwe kila mtu angependa kwenda huko Au kupeleka mwanae.
Kwanini TRA isiwe autonomous?
Nchi karibia zote Duniani Mamlaka za Mapato ya serikali ziko autonomously isipokuwa bongo.
Wakati wa Ben Mkapa alijitahidi iwe semi autonomous.
Lakini kuanzia awamu ilopita sijui kumetokea nini!
Kuanzia Viongozi top wanatolewa nje ya taasisi.
Bwana yule sijui amefanyaje mambo kuwa upside down.
Si walituhimiza turudi nyumbani kumenoga!? Imekuaje tena!Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni kwenda kuanza kazi maeneo mapya, lakini wafanyakazi wengi wameanza kupongezana kwenye magroup ya WhatsApp nk baada ya habari kuvuja kuwa wote watakuwa absorbed "vitengo' yaani bandarini na TRA.
Kila kheri ndg zetu.
Kama wana uzoefu wa WIZI je, wakausambaze na huko?!!Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni kwenda kuanza kazi maeneo mapya, lakini wafanyakazi wengi wameanza kupongezana kwenye magroup ya WhatsApp nk baada ya habari kuvuja kuwa wote watakuwa absorbed "vitengo' yaani bandarini na TRA.
Kila kheri ndg zetu.
Mkapa aliweka msingi mzuri sana wa TRA, Kikwete akaheshimu Msingi huo …Alipoingia Mzalendo mpinga ufisadi akavunja hiyo Misingi akawakabidhi TRA kwa Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma…uko zako Halmashauri ya Maswi ukipata gawio la ujenzi wa shule za kata unakata fungu utumishi unaamkia TRA makao makuu kama Mkuu wa Kitengo
Kakdhalika ATCL,mipango imeiva,siku wakigoma nchi inasimama,hakuna huduma,chanzo cha utawala kuanguka, vinginevyo wapigiwe magotiLine yangu ya TTCL navyoipenda, nimekuwa nayo muda mrefu nilishaizoea kwenye shida na raha..
Rostam aichukue hiyo TTCL kama alivyofanya kwa Zantel kule Zanzibar.
Mmmh TZ kwa kuua Mashirika ya Uma kumeanza
Ndo wasema halmashauri tumejaa wabovu kiutendaji?nakataa mimi niko halmashauri na niko very compitent,sema system mbovu ya local government inazuia Wenye utendaj mzuri kuleta impact 🤣🤣Wabovu ki utendaji na wa uaji wa shirika hao hawana uwezo wapelekwa Halmashauri wote.
Dokta migiro amerudishwa home kuwa mkuu wa mkoa?this is too much aiseeh,haikubaliki kwa jembe lile kulishushia hadhi hivyoMkurugenzi mkuu wa TTCL ameteuliwa kuwa balozi wetu nchini Uingereza kuchukua nafasi iliyo achwa wazi na Dr. Asha Rose Migiro ambaye ameteuliwa kua mkuu wa mkoa wa Mara.
Kwa nini wasipelekwe kwenye halmashauri, au idara zozote zilizo chini ya TAMISEMI?Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni kwenda kuanza kazi maeneo mapya, lakini wafanyakazi wengi wameanza kupongezana kwenye magroup ya WhatsApp nk baada ya habari kuvuja kuwa wote watakuwa absorbed "vitengo' yaani bandarini na TRA.
Kila kheri ndg zetu.
Dokta migiro amerudishwa home kuwa mkuu wa mkoa?this is too much aiseeh,haikubaliki kwa jembe lile kulishushia hadhi hivyo
Yule alikua muuaji wa binadamu hadi taasisi za uma.Mkapa aliweka msingi mzuri sana wa TRA, Kikwete akaheshimu Msingi huo …Alipoingia Mzalendo mpinga ufisadi akavunja hiyo Misingi akawakabidhi TRA kwa Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma…uko zako Halmashauri ya Maswi ukipata gawio la ujenzi wa shule za kata unakata fungu utumishi unaamkia TRA makao makuu kama Mkuu wa Kitengo
Dr.dumbaro kwa sasa amestaafu, yeye alikuwa anaagizwa tu na Mamlaka kuu, mbona ilipokuja Mamlaka mpya nae akabadili style ya kucheza?Yule alikua muuaji wa binadamu hadi taasisi za uma.
Kuna mpuuzi mmoja anaitwa ndumbaro alikua kule utumishi alikua anajifanya Mungu mtu,
Fikiria mashirika ya umma na mamlaka za umma walikua na scale zao za mishahara, unamtoa mtu huko unampeleka halmashauri kwenye scale moja ila alotoka shirika la umma anamzidi wa halmashauri x 20 mshahara,
Huo ni utaahira wa ndumbaro na bosi wake.
Nonsense
Fake news. Shirika litagawanywa mara mbili. Mkongo na miundombinu ya kimataifa, na simu za kawaida. Baadhi ya wafanyakazi wataendelea kuwa kwa mwekezaji na baadhi watapunguzwa, wachache watahamishwa.Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni kwenda kuanza kazi maeneo mapya, lakini wafanyakazi wengi wameanza kupongezana kwenye magroup ya WhatsApp nk baada ya habari kuvuja kuwa wote watakuwa absorbed "vitengo' yaani bandarini na TRA.
Kila kheri ndg zetu.
UnaotaWakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni kwenda kuanza kazi maeneo mapya, lakini wafanyakazi wengi wameanza kupongezana kwenye magroup ya WhatsApp nk baada ya habari kuvuja kuwa wote watakuwa absorbed "vitengo' yaani bandarini na TRA.
Kila kheri ndg zetu.
Hivi kila shirika litakalo pata hasara litafutwa? Mwl Nyerere katika moja ya makosa aliyowahi kuyajutia ni kufuta vyama vya ushirika na serikali za mitaa kisa zimefeli, kwa maelezo yake alisema badala ya kuzisaidia tulizifuta. Serikali itafute namna ya kuyakwamua mashirika ya umma kama tatizo liko kwa wafanyakazi iwawezeshe wafanyakazi, kama shida ni vitendea kazi watafute vitendea kazi au kama shida ni management na uongozi na kwenyewe wabadilishe.Wakati shirika la simu Tanzania ( TTCL) likiwa katika hatua za mwisho mwisho kufunga operasheni zake upande wa simu na kuwaacha wenzao upande wa mkongo wa taifa kuitikia wito wa mama Samia, bashasha zimetawala nyusoni mwa wafanyakazi wengi.
Kitu pekee kinachoweza kuwa hasi kwa wafanyakazi hao ni kwenda kuanza kazi maeneo mapya, lakini wafanyakazi wengi wameanza kupongezana kwenye magroup ya WhatsApp nk baada ya habari kuvuja kuwa wote watakuwa absorbed "vitengo' yaani bandarini na TRA.
Kila kheri ndg zetu.
Huwezi kufufua shirika wakati viongozi waliolifikisha hapo bado wapo humohumo inatakiwa kubadilisha kila kitu ndio uanze upyaHivi kila shirika litakalo pata hasara litafutwa? Mwl Nyerere katika moja ya makosa aliyowahi kuyajutia ni kufuta vyama vya ushirika na serikali za mitaa kisa zimefeli, kwa maelezo yake alisema badala ya kuzisaidia tulizifuta. Serikali itafute namna ya kuyakwamua mashirika ya umma kama tatizo liko kwa wafanyakazi iwawezeshe wafanyakazi, kama shida ni vitendea kazi watafute vitendea kazi au kama shida ni management na uongozi na kwenyewe wabadilishe.