Wafanyakazi TTCL kupelekwa TRA na bandarini

Wakaue tra na tpa kama walivyofanya ttcl
 


Hapana!

Watanzania sio wajinga kiasi hicho!

Yaani nchi karibia zote zimeweza isipokuwa ishindikane Tanzania?

Kwani ikiwa autonomous ndio kusema Mamlaka nyingine haziwezi kuwaangalia utendaji wao ?

Sema baadhi ya Viongozi wanajinufaisha Na udhaifu huo kwa sasa wa kutokuwa automous maana huenda wengine wakitaka wanawaingiza watoto wao Na waume zao yaani wakwe huko TRA yaani unakuta familia nzima imeingizwa TRA kwa influence ya uongozi wa mzazi.?
 
Sasa Mkuu Mainjinia wa TTCL wanatumia Bajaji kufika site unategemea kutakuwa na ufanisi hapo??
 
Hawa si tuliaminishwa kuwa wanafanya vizuri kiasi cha kupeleka gawio serikalini?

Wakati wa Mwendazake tuliaminishwa wanafanya vizuri , sasa imekuwaje gafla?
 
Hapana TTCL kuna matumizi makubwa
 
Unafahamu;

Unapoona utaratibu fulani umewekwa au uamuzi fulani kupitishwa tunaamini kuna “facts za msingi “ zilizingatiwa katika ku-arrive hapo”

Sasa gafla unapotaka kugeuza utaratibu huo unatakiwa uje na facts zako za kutosha kuzidi za wenzio [emoji108]


Mfano; recommendations toka Kwa taarifa ya CAG , n.k.

Matharani;

Wenzio walifikia uamuzi wa kubinafsisha mashirika ya umma (Rejea Ilikuwa PSRC) sababu mbalimbali na Pengine baada ya utafiti au uchunguzi,

Wewe unakuja kusema Hapana nayarudisha serikalini [emoji848][emoji848] tena bila kufanya utafiti wala uchunguzi just Kwa mihemko tu ya kisiasa?

Kwa hiyo facts walizozingatia wenzio unaziona zimekuwa irrelevant?

Tupatie wewe facts zako za kutosha za kubadilisha huu utaratibu [emoji2369]

Haya sasa ,

Nyumbani kulinoga , sasa kumedoda au ?!
 
Mama hataki hata kuuniza kichwa kuendesha nchi ..kila kitu kikimshinda anahamishia private sector
 
Jamaa alikuta taasisi ziko semi-autonomous of which zinapaswa kuwa na full autonomy,

Yeye hata ile semi -autonomous akaindoa [emoji848][emoji848]

Ukiwauliza wapambe wake sababu ni zipi?

Wanauma maneno!

Inakuwa ni mihemko ya kisiasa!

Ambapo wapambe wanafurahi kukiwa na udhaifu ili wachomekee watoto wao na wakwe, wapwa, mahawara n.k.?

Penye udhia ………….

Lakini yatupasa kujisikia kuwiwa na maisha ya watanzania na vizazi vyao!
 
TTCL is there to stay,

Kuna wakati watu huongea kulifurahisha genge, na ushauri hupuuzwa sometimes.

Usijefikiri Kuna siku bandari au tra itabinafsishwa Kwa kushindwa kuoperate Kwa ushauri wa kiongozi!!
 
Kabla hawajasepa, waache wametufungulia modem zetu za TTCL.
Aidha wayape makampuni mengine ya simu code zao ili line za mitandao mingine zisome code za TTCL.
 
Wameula hao🙏mi5 Tena kwa mamaakeee😋
 
Ndo zingine bana.

[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…