Wafanyakazi TTCL kupelekwa TRA na bandarini

Wanapelekwa halmashauri wote
 
Nadhani hii habari siyo kweli, isitoshe kuua TTCL Mobile kabisa siyo sahihi kwa maana bado kuna income ambayo haijapewa njia nzuri iweze kutiririka bali waliokuwepo walifanya ni mradi wao.

Apewe mwekezaji hii TTCL Mobile.
Nakazia
 

Watanzania ni kama tumerogwa
 
Hii ndiyo akili ya CCM. Shirika halifanyi vizuri kwa sababu ya uongozi mbovu unaowekwa kuliongoza. Na viongozi wake wanateuliwa na CCM. Tujiulize: Mbona Vodacom, Tigo, Halotel etc zinafanya vizuri?
 
Moja ya drawback ya Monopoly system ni hiyo Taasisi zilizopewa dhamana ya kutoa huduma kwa jamii hufanya hivyo tu wanapojisikia yaani mradi liende no innovation at all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…