Wafanyakazi wa Bunge la JMT chukueni maua yenu

Wafanyakazi wa Bunge la JMT chukueni maua yenu

Yaani hata polisi wa Bunge tofauti na firigisi mongers wa huku mitaani
Nadhani umeanza kuona ya kwamba, binadamu/mtumishi ukimtendea haki kwa kumkirimu kulingana na kazi/tija yake(mshahara utoshao,marupuru,heshima na kumjali kwa wakati)atakuwa mtumishi mwema!?Ni wakati saaa wa kuwajali na watumishi wengine hasa kuanzia nafasi za chini.Hao wa bungeni wanakuwa well-treated.Lazima waoneshe ukweli na utofauti.
 
Hata hao wa Ikulu wapo njema sana kwenye customer care, nina ushahidi wa Ikulu ya Dar, unakaribishwa vizuri, unafahamishwa taratibu kwa tabasamu pana, hadi unatamani usiondoke haraka.
Nina barua zangu 3 walizipoteza wale.

Pia huruhusiwi kutembea chini ya vivuli vya fence ya Ikulu mchana wa jua kali.

Kimsinhi Ikulu ya Tanzania si mali ya Watanzania bali ya vikosi vyenye silaha kali kali.
 
Nadhani umeanza kuona ya kwamba, binadamu/mtumishi ukimtendea haki kwa kumkirimu kulingana na kazi/tija yake(mshahara utoshao,marupuru,heshima na kumjali kwa wakati)atakuwa mtumishi mwema!?Ni wakati saaa wa kuwajali na watumishi wengine hasa kuanzia nafasi za chini.Hao wa bungeni wanakuwa well-treated.Lazima waoneshe ukweli na utofauti.
Kuna watumishi wanaolipwa vizuri kama wa BOT?

You know what I mean!!
 
Kuna watumishi wanaolipwa vizuri kama wa BOT?

You know what I mean!!
Si kwamba wanalipwa vizuri willingly.Wanawalipa vizuri "sana" kwa kuwaogopa.Kwa maneno ya kweli ni kama wanatulizwa kwa hongo in the names of mishahara minono.Wanajua wakiwafanyia "zeleheba" watatufanyia hujuma na wote tutalia kama punda vihongwe.
 
Kuna huduma gani ya uzalishaji hapo uliifuata bungeni..ungeleta mfano wa sehemu zenye uzalishaji ningekuelewa.😶
 
Wafanyakazi wa sehemu yoyote iwe serikalini, kwa watu binafsi, vyoo vya manispaa na popote WANAOLIPWA vizuri na wenye marupurupu yooote LAZIMA wafanye kazi kama hao unaowasifia......
mwingine aendeleze hapa chini........
Mbona huko nssf nk kuna ukiritimba uliopitiliza mkuu, hizo njoo kesho, file halionekani ni mambo ya kawaida sana.
 
Nilitaka nimjibu hivyo hivyo maana hata ukienda Ofisi zile zinazolipa Watumishi vizuri lazima utakaribishwa vizuri utapewa juice,utaangalia TV wakati unangoja huduma na vitu vingine ilimradi mteja usichoke,sasa nenda Halmashauri huko,Hospitali za Wilaya uone kivumbi na watumishi waliokata tamaa ya maisha.
 
Hata hao wa Ikulu wapo njema sana kwenye customer care, nina ushahidi wa Ikulu ya Dar, unakaribishwa vizuri, unafahamishwa taratibu kwa pana, hadi unatamani usiondoke haraka.
Hivi wewe ndiyo mtu wa kwanza kufika Ikulu na bungeni?
 
Mbona huko nssf nk kuna ukiritimba uliopitiliza mkuu, hizo njoo kesho, file halionekani ni mambo ya kawaida sana.
Hao ni mashetani wenye asili ya wizi.Wanapaswa kuombewa mfululizo siku saba zikisindikizwa na kufunga kula kwa ajili ya utakaso wao.
 
Back
Top Bottom