Wafanyakazi wa Bunge la JMT chukueni maua yenu

Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea.

Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi zote za Umma nchini.

Kuanzia mapokezi hadi huduma unazopewa pale unapata uthubutu wa kujivunia Bunge letu. Inawezekana wawakilishi wetu wakawa siyo competent lakini wale wafanyakazi loh ni kaliba nyingine.

Hawana ukiritimba, hata kama ukikosea utaratibu wanakuelewesha in friendly and respective manner. Usalama wako na mali yako upo guaranteed 100%.

Ukiambiwa njoo kesho, hakika kesho jambo lako linakuwa tayari. Trust me, Bungeni hakuna ukiritimba tuliozoea kuuona maeneo mengine

uongozi na wafanyakazi wote wa Bunge chukueni [emoji259][emoji259]maua[emoji259][emoji259] yenu [emoji255]walah[emoji255]
Ni kweli hili linawezekana. Hata Serikalini ingewezekana kama ajira, uteuzi na kupandishwa ngazi kungefanywa kwa mujibu wa weledi na ufanisi wa utendaji (meritocracy )na si kwa mujibu wa undugu, urafiki, ufisadi.
 
Wafanyakazi wa sehemu yoyote iwe serikalini, kwa watu binafsi, vyoo vya manispaa na popote WANAOLIPWA vizuri na wenye marupurupu yooote LAZIMA wafanye kazi kama hao unaowasifia......
mwingine aendeleze hapa chini........
Sahihi
 
Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea.

Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi zote za Umma nchini.

Kuanzia mapokezi hadi huduma unazopewa pale unapata uthubutu wa kujivunia Bunge letu. Inawezekana wawakilishi wetu wakawa siyo competent lakini wale wafanyakazi loh ni kaliba nyingine.

Hawana ukiritimba, hata kama ukikosea utaratibu wanakuelewesha in friendly and respective manner. Usalama wako na mali yako upo guaranteed 100%.

Ukiambiwa njoo kesho, hakika kesho jambo lako linakuwa tayari. Trust me, Bungeni hakuna ukiritimba tuliozoea kuuona maeneo mengine

uongozi na wafanyakazi wote wa Bunge chukueni 🌺🌺maua🌺🌺 yenu 🌷walah🌷
Naunga mkono hoja, na sio wafanyakazi tuu, hata boss wao Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?
Shuhudia hapa watu tukimpa maua yake

View: https://youtu.be/ZM_D9HAPi5M?si=qnDuE3ROf-U7nCMM
P
 
Back
Top Bottom