Wafanyakazi wa Bunge la JMT chukueni maua yenu

Mimi nimefika Ikulu ya Dar na nimeeleza mapokezi mazuri niliyopewa, mtoa mada kafika bungeni kaeleza mapokezi mazuri aliyopewa, na wewe rukhsa kueleza kwa upande wako
Ulijitambulisha kuwa umetoka wapi au ulikuwa umevaa vazi la CCM?
 
We nenda hata ofisi ndogo za bunge pale Karibu na Magogoni then utupe jibu, usiende umevaa shart la CCM
Tulishawahi kwenda ofisi ndogo ya bunge hadi ndani tukaingia, maji tukanywa, picha tukapiga kama zote.... na hatukua na mavazi ya chama chochote
 
Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea.

Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi zote za Umma nchini.

Kuanzia mapokezi hadi huduma unazopewa pale unapata uthubutu wa kujivunia Bunge letu. Inawezekana wawakilishi wetu wakawa siyo competent lakini wale wafanyakazi loh ni kaliba nyingine.

Hawana ukiritimba, hata kama ukikosea utaratibu wanakuelewesha in friendly and respective manner. Usalama wako na mali yako upo guaranteed 100%.

Ukiambiwa njoo kesho, hakika kesho jambo lako linakuwa tayari.

uongozi na wafanyakazi wote wa Bunge chukueni 🌺🌺maua🌺🌺 yenu 🌷walah🌷
Ngojea waje wafuasi wa TEC kumwaga matusi,wamepewa maelekezo wapinge kila kitu awamu hii
 
Take it easy!As much easy as you can,the chawa "himself"!🙏😂
Sisi chawa wa nguvu kila hoja tunajibu hahaha. Ila hakuna siku nayoisubiria kama ile itakayofanyika Dodoma 2025 “….. mimi Samia …. naapa … wa JMT” yaani siku hiyo ni sherehe tu, na nyingine ni ile 2030 “… mimi Samia….naapa… rais wa JMT” yaani mpaka 2035. Ni lazima asipotaka tutamlazimisha!
 
Naam.Kweli wewe ni chawa mchangamfu sana.Na iwe kama liwazo lako la moyo likuoneshalo kesho ya ndotoni.
 
Utakua una muonekano wa kitajiri. Tuliwekwa hapo hadi nikasema Jehovah..
 
Naam.Kweli wewe ni chawa mchangamfu sana.Na iwe kama liwazo lako la moyo likuoneshalo kesho ya ndotoni.
Siyo ndoto ni hakika Rais Dkt Samia lazima aongoze mpaka 2040! Au zaidi. Asipotaka tutamlazimisha! Maana sisi wananchi tunampenda
 
Nakuunga mkono pale hakuna mweny kufanya ukiritimba wa aina yoyote kwani wanazingatia kinachoingia mfukon ona wale wanaojitaidi kuweka ceitics wanachofanywa mfano mbowe,tundulisu ko usitufanye wajinga tunaijua iyoo
1675362281634.jpg
 
Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea.

Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi zote za Umma nchini.

Kuanzia mapokezi hadi huduma unazopewa pale unapata uthubutu wa kujivunia Bunge letu. Inawezekana wawakilishi wetu wakawa siyo competent lakini wale wafanyakazi loh ni kaliba nyingine.

Hawana ukiritimba, hata kama ukikosea utaratibu wanakuelewesha in friendly and respective manner. Usalama wako na mali yako upo guaranteed 100%.

Ukiambiwa njoo kesho, hakika kesho jambo lako linakuwa tayari. Trust me, Bungeni hakuna ukiritimba tuliozoea kuuona maeneo mengine

uongozi na wafanyakazi wote wa Bunge chukueni [emoji259][emoji259]maua[emoji259][emoji259] yenu [emoji255]walah[emoji255]

Aliyekua CAG aliambiwa avue viatu kabla ya kuingia ofisi za hapo Bungeni.
 
Hakika viatu lazima ukaguliwe maana kama ujuavyo vinapita kwenye screening hivyo hata mimi nilivua vikascaniwa nikavivaa
 
Wafanyakazi wa sehemu yoyote iwe serikalini, kwa watu binafsi, vyoo vya manispaa na popote WANAOLIPWA vizuri na wenye marupurupu yooote LAZIMA wafanye kazi kama hao unaowasifia......
mwingine aendeleze hapa chini........
Ukiwa huna njaa na akili inatulia
 
Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea.

Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi zote za Umma nchini.

Kuanzia mapokezi hadi huduma unazopewa pale unapata uthubutu wa kujivunia Bunge letu. Inawezekana wawakilishi wetu wakawa siyo competent lakini wale wafanyakazi loh ni kaliba nyingine.

Hawana ukiritimba, hata kama ukikosea utaratibu wanakuelewesha in friendly and respective manner. Usalama wako na mali yako upo guaranteed 100%.

Ukiambiwa njoo kesho, hakika kesho jambo lako linakuwa tayari. Trust me, Bungeni hakuna ukiritimba tuliozoea kuuona maeneo mengine

uongozi na wafanyakazi wote wa Bunge chukueni 🌺🌺maua🌺🌺 yenu 🌷walah🌷
Wewe umechanganywa tu na milango ya sensor ya kukaribia na kujifungua ,au vinginevyo ulitaka tujue umefika bungeni,

Zipo huduma katika ofisi unapewa kiutaratibu wa kiofisi kama sehem ya taratibu za kila siku za ofisi na zipo sehem unapa huduma unayosema ni bora kutokana na nidham ya woga tokana na aina ya watu wanaohudumiwa kila siku pale

Nafikili umeelewa so usitoe sifa zisizostahili
 
Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea.

Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi zote za Umma nchini.

Kuanzia mapokezi hadi huduma unazopewa pale unapata uthubutu wa kujivunia Bunge letu. Inawezekana wawakilishi wetu wakawa siyo competent lakini wale wafanyakazi loh ni kaliba nyingine.

Hawana ukiritimba, hata kama ukikosea utaratibu wanakuelewesha in friendly and respective manner. Usalama wako na mali yako upo guaranteed 100%.

Ukiambiwa njoo kesho, hakika kesho jambo lako linakuwa tayari. Trust me, Bungeni hakuna ukiritimba tuliozoea kuuona maeneo mengine

uongozi na wafanyakazi wote wa Bunge chukueni 🌺🌺maua🌺🌺 yenu 🌷walah🌷
hilo ni bunge la ccm na sio watanzania
 
Back
Top Bottom