Wafanyakazi wa Bunge la JMT chukueni maua yenu

Ni kweli hili linawezekana. Hata Serikalini ingewezekana kama ajira, uteuzi na kupandishwa ngazi kungefanywa kwa mujibu wa weledi na ufanisi wa utendaji (meritocracy )na si kwa mujibu wa undugu, urafiki, ufisadi.
 
Wafanyakazi wa sehemu yoyote iwe serikalini, kwa watu binafsi, vyoo vya manispaa na popote WANAOLIPWA vizuri na wenye marupurupu yooote LAZIMA wafanye kazi kama hao unaowasifia......
mwingine aendeleze hapa chini........
Sahihi
 
Naunga mkono hoja, na sio wafanyakazi tuu, hata boss wao Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?
Shuhudia hapa watu tukimpa maua yake

View: https://youtu.be/ZM_D9HAPi5M?si=qnDuE3ROf-U7nCMMP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…