D
Ndio maana matajiri wanatembea na mabodigadi au mguu wa kuku chini ya kiti cha gari
majangili wanaweza kujua una kiasi gani kwenye account kwa kutoa ofa ya savanna moja tu
Pamoja na kwamba mkuu unatumia ID fakeKwa nini na wewe mteja huna hela lakini unajimwambafai na kuwasumbua wahudumu wa benki ukilazimisha upewe huduma first class? Hivi ulishawahi kukutana na maudhi ya wateja? Siungi mkono huo uropokaji wa huyo bidada lakini nawaza tu haiwezekani mama wa watu atoke tu na kuanza kuropoka, kuna shida mahali!
Si ndiyo hapo hata mimi nimeshangaa! Jamaa wanaingia kwa wateja wakubwa huku hana hela kwenye akaunti halafu anaanza kuwafokea wahudumu!lubajaro usikute mteja mwenyewe ndo wewe.
Unataka private services wakati akaunti hazina hela mzee. Sasa wao watachukuaje gharama zao.
Ungeingia mlango wa pembeni yake pale kwa raia wote, hakuna noma lolote mule. Unahudumia hata kama una jero kwa akaunti.
Utafungwa wewe acha ujinga.Ningekuwa ndiyo Mimi.Huyu mhudumu wa benk angekula makofi.
Utapiga makofi wangapi? Haya ni matatizo ya sehemu nyingi Bongo. Maskini wanadharau wenzao. Hata dukani utasikia ''mteja gani ananunua pisi moja''. Kwa kifupi ni tatizo la umaskini, mtu anajukuta anadharau wenzake.Ningekuwa ndiyo Mimi.Huyu mhudumu wa benk angekula makofi.
Hapana sikuwa Mimi, ila sisi wateja tuliokuwa tumekaa kwenye viti tukisubiri namba zetu ziitwe tulijikuta tunaangaliana kwa mshangao kwa sababu benki siku zote kunakuwa na ukimya na faragha za WATEJA, lakini ukikuta Mtumishi wa benki anaropoka kwa wenzake hicho ndicho kilichotufanya tujiulize na tupate mshangao juu ya hilo.Si ndiyo hapo hata mimi nimeshangaa! Jamaa wanaingia kwa wateja wakubwa huku hana hela kwenye akaunti halafu anaanza kuwafokea wahudumu!
Kwa nini na wewe mteja huna hela lakini unajimwambafai na kuwasumbua wahudumu wa benki ukilazimisha upewe huduma first class? Hivi ulishawahi kukutana na maudhi ya wateja? Siungi mkono huo uropokaji wa huyo bidada lakini nawaza tu haiwezekani mama wa watu atoke tu na kuanza kuropoka, kuna shida mahali!