Cotton pamba
JF-Expert Member
- Dec 16, 2020
- 303
- 209
We jamaa bhana. Uzi umesoma wote kweli?? Kilio cha mtoa mada sio hali mbaya ya kimaisha, anatuhumu ubabaishaji office za ummaTafuta kazi yako achana na kulilia mirathi ya mzee wako henya kutafuta. Pambana kijana acha short cut life. Nyie ndio mnaombeaga wazee wenu wafe
Tatizo sasa ivi ni kwamba hata Ofisin hawaaminiani hapo, Kwamba Eti huyu ni ndugu yangu nataka nimfanyie chap, wenzake watakwamisha wakijua kwamba Jamaa anawazuga apate cha juu; Nilikuwa namtuma bwana mdogo wangu anifuatilie Vitu flani vya Ardhi Dodoma jiji, ambako nina Uncle wangu pale; Ikawa ikawa inachukua muda kweli; Niliporud Tz nikafatilia mwenyewe ikawa hivyo hivyo, Nikaamua Kukata Pochi; hapo mambo yalienda faster. So hata kama una Ndugu, kama hutaki kupoteza muda na Pesa ipo, ni vizuri kuwasupport ndugu zetu wale; Maana mzee amebana huko nchini kwetu sasa hao ndugu zetu mambo yamewabana pia.mimi nilikua na watu tunaofahamiana baadhi ya ofis ila mpka sasa sijatoboa miez 3 ila nyie mliopo humu km upo kitengo chochote ebu
pole mtumishiWatumishi wasipoongezewa mishahara huwa mnachekelea sana.
Haya mambo yanataka maamuzi sio kuchekelea matatizo ya wenzenu
Du, aisee ๐๐ nakata tamaa kbsa maana psssf nilichukua tu zile form bado kujaza na kuziludisha nikajua wao ndo watakua faster kumbe ni km nssf tu๐Baba lao ofisi ya Utumishi kwa anuani ya katibu mkuu utumishi, utamaliza mwaka au na zaidi hujajibiwa barua. Nimeona ni kupoteza muda kumwandikia katibu mkuu utumishi barua. Ile ofisi ilitakiwa iwe kielelezo bora lakini ni kinyume chake. Mama lao PSSSF, tuko dunia ya digitali umewapelekea mahitaji yote, mwaka unakata unaambiwa wanashughulikia. Zile ni pesa zetu tulizideposit kama tunavyoweka pesa benki, kwanini ku-withdraw au kutoa iwe nongwa? Kama mwanzisha mada alivyosema ole wako umkute mwanamke, wana roho mbaya sijawahi ona. Halafu mnasema wanawake ni waadilifu?
Usinijadili mimi maana hunijui, jadili tatizo lilipo mezani.pole mtumishi
kuna wale wanasema nidhamu kazini imerejea, sijui huwa wanamaanisha nini kwa kweli. Pita pita ardhi na idara zake zote ndio utawafahamu vizuri watumishi wa Umma, Mungu awaponye huu ugonjwa kwa kweli.
Kiwanja mwekezaji amenunua 87M bado anatakiwa atoe chai ili hati itoke haraka!!!!
relax mtumishi.Usinijadili mimi maana hunijui, jadili tatizo lilipo mezani.
Uonevu katika nchi huzaa uovu, yote ni matatizo ya uongozi mbovu, kama hali itaendelea hivi basi tutarajie mabaya zaidi.
Juzi umesikia polisi wamegawana nyama kituo cha polisi Buguruni, kuna taasisi huko kama Tanesco bila rushwa hata umeme huupati kirahisi hata kama umekamilisha taratibu,
Shut up usijikute unanijua, huwezi kuchangia bila kutafuta identity yangu?relax mtumishi.