A
Anonymous
Guest
Mimi ni mfanyakazi wa TANESCO wa kazi maalumu S.T.E (Specific Task Employee) kutoka Mkoa wa Katavi viongozi wetu wa juu wa Shirika wasikie ujumbe huu ili watusaidie maana tunapitia changamoto ya kucheleweshewa mishahara.
Tunapaswa kulipwa kila baada ya siku 10 lakini inapita hata mwezi bila kulipwa na ikitokea tumepata safari tunaandikia safari ila mwishowe tugharamikia hizo safari wenyewe ili wanaopewa kipaumbele cha kulipwa ni watu wa ajira ya kuduma na wenye mikataba ya mwaka pekee sisi kubaki tunanung’unika bila majibu.