Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
suala sio nataka kusema,Kwa hiyo hapa unataka kusema kuwa wafanyakazi hawafanyi kazi kwa bidii ndio maana hawaongezewi mishahara?
ni bayana bidii itakupa faida na maslahi bora zaidi na hutakua na sense ya kivivu ya manunguniko na malalamiko bali kuchapa kazi na kusonga mbele 🐒
hayo ya kwahiyo sijui hivi sijui vile yabaki tu kwa wavivu wanaoweza kurubuniwa kwasabb ya uvivu na tamaa zao 🐒