Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
10,727
Reaction score
24,840
Tanzania tops the East Africa on The list of Countries with highest paying Jobs.
1. Libya-1713$
2.Zambia-1482$
3.South Africa-1188$
4.Namibia-753$
5.Mauritius-666$
6.Tanzania-422$
7.Morocco-402$
8.Zimbabwe-352$
9.Ghana-313$
10.Algeria-295$
 
Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.

Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
 
Hahaha hiyo 40,000 unamlipa dada wa kazi ama......Tulia sindano ikuingie umepewa hadi source unaleta ujanjaujanja....
 
Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.

Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
Kima cha chini hicho umekitoa wapi hawa Dada wazo wanafundisha nursery schools hapa bongo uwaulize

270000 minimum wages in tz angalia websites ya TRA

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.

Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
Hii mintandao inawadanganya sana, kima cha chini cha mshahara Tanzania sio 40 elfu labda kwa wafanyakazi Wa majumbani .
Ingia website ya Tanzania Revenue Authority ujithibitishie.
 
Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.

Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
Tafuta Waraka wa Serikali mwaka 2013! Hiyo 40K ni Wafanyakazi wa Ndani, tena kwa Local Employees!
 
Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.

Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
Ujui mfumo wa mishahara tz hiyo sh 50000 ni house girl wa uswazi ndiyo wanalipwa hivyo Kwa serikalini sidhani kama kima cha chini ni chini ya 250000tsh = 12500ksh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashangaa nini wakati nimeweka hadi source ya kueleweka, wacha nyie mnaleta blogs uchwara.
Unajua maana ya source ya kueleweka wewe?! Yaani pamoja na kwamba dunia ina uchu sana taarifa, lakini ukiangalia Alexa Ranking ya source yako ni:-
Alexa.png

Halafu kwenye About Us wanajigamba:-
Worldbestinfo is one of the world largest general information site.
One of the world largest info source wakati hata visitors hawana!!!
 
Tanzania tops the East Africa on The list of Countries with highest paying Jobs.
1. Libya-1713$
2.Zambia-1482$
3.South Africa-1188$
4.Namibia-753$
5.Mauritius-666$
6.Tanzania-422$
7.Morocco-402$
8.Zimbabwe-352$
9.Ghana-313$
10.Algeria-295$
Hizo highest paying job ni zipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inamaanisha kuna lowest paying job
 
Utakuwa una ugua wewe huyo house girl halipwi 40,000Tsh ndo awe mfanya kazi labda unataka kujua Tanzania kima cha chini laki 3
Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.

Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachokisema hapo ni kitu tofauti kabisa hakihusiani na Mada, Hapa tunazungumzia Ajira Rasmi,
Eti 40,00”/- yaani hata Vibarua wangu wa shamba nawalipa 5$ ped day plus meal, wewe hiyo umeitoa wapi?

Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta
Serikali imetangaza viwango vipya vya chini vya mishahara kisekta ambavyo vinatofautiana kati ya sekta moja na nyingine ambavyo ni kuanzia Sh40,000 hadi Sh400,000 kwa mwezi kuanzia Julai Mosi mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema, watakaolipwa kima kidogo zaidi cha Sh40,000 ni wafanyakazi wa nyumbani ambao wameajiriwa na watu wa kawaida huku wakiishi kwenye nyumba za waajiri wao.
Kwa upande mwingine, katika viwango hivyo, kima kikubwa katika viwango hivyo cha Sh400,000 kitalipwa kwa wafanyakazi wa sekta za mawasiliano zikiwamo kampuni za simu, kampuni za kimataifa za nishati, madini na taasisi za fedha.
 
Mwaka gani hiyo[emoji12][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom