Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki

Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki

Dah! Eti Tz housegirl analipwa 40,000 hela ya madafu? Kenya mshahara wa chini kabisa kwa housegirl ni KES 13,500 hiyo ni 310,500 tzshs!

Tatizo la Watz ni uwoga mwingi, hawajui kujitetea.
 
Unachokisema hapo ni kitu tofauti kabisa hakihusiani na Mada, Hapa tunazungumzia Ajira Rasmi,
Eti 40,00”/- yaani hata Vibarua wangu wa shamba nawalipa 5$ ped day plus meal, wewe hiyo umeitoa wapi?
Mmmm!! Jomba naona siku hz umetoa mpka ajira baada ya kuja msa na kushindwa kukomboa hoteli ya maana hku ukibakia kula vibandani na mkeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta
Serikali imetangaza viwango vipya vya chini vya mishahara kisekta ambavyo vinatofautiana kati ya sekta moja na nyingine ambavyo ni kuanzia Sh40,000 hadi Sh400,000 kwa mwezi kuanzia Julai Mosi mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema, watakaolipwa kima kidogo zaidi cha Sh40,000 ni wafanyakazi wa nyumbani ambao wameajiriwa na watu wa kawaida huku wakiishi kwenye nyumba za waajiri wao.
Kwa upande mwingine, katika viwango hivyo, kima kikubwa katika viwango hivyo cha Sh400,000 kitalipwa kwa wafanyakazi wa sekta za mawasiliano zikiwamo kampuni za simu, kampuni za kimataifa za nishati, madini na taasisi za fedha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kima cha chini cha TZS 40,000 katika sekta rasmi......Labda unaongelea nini cijui.Sekta isiyorasmi yenyewe kwa Tanzania wanalipwa wastani wa kati ya TZS 6000-10000 kwa siku pamoja na marupurupu mengine Mfano.Mfanyakazi wa Bar ndogo,hausemaid na wengine Barmaids wanalipwa kati ya TZS 90,000 na 200,000 na bado wanapewa mahali pa kukaa na boss wao,chakula wanapewa na Boss wao na bado wanakula vichwa vya kutosha kabisa nje ya muda wa kazi.
Kweli watanzania wanapata tabu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sio kw mishahara hiyo[emoji122][emoji122][emoji122]
Yani mbwembwe zote hzo kumbe mnalipwa kisenge hvyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Eti Tz housegirl analipwa 40,000 hela ya madafu? Kenya mshahara wa chini kabisa kwa housegirl ni KES 13,500 hiyo ni 310,500 tzshs!
Ndio nimekwambia watanzania wanapata tabu sana...
Sidhani kenya km kuna Housegirl ambae anaweza kubali chini ya elfu kumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kwa mwaka mnaongeza shilingi ngapi, kila mwaka mnaongeza kama 10,000 na kuna mwaka mnakaushwa. Kwanza kwa awamu hii ya tano ndio kilio huwa naona mkilia sana hamjaongezwa, sio kwa serikali au sekta binafsi.
Ila wewe jamaa ninakusifu sana kwa uzalendo ulio nao kwa nchi yako..khaa!
Kenya ikitajwa hata kama ni kwa jambo la kawaida.... huwa unakuja mbio kama ngiri.
 
Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.

Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
Nilitaka nishangae maana hata thamani ya hela yetu tu inaonesha kuwa hela ya Kenya ipo juu zaidi yetu sasa ikawa sielewi hapo tunapowapita mishahara wenye pesa ya juu zaidi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
On average a house girl kenya hua wanalipwa sio chini ya 300,000tsh. Wala sio uongo wengine wanaenda zaidi ya hapa, and most of them hua wanakuaga from tz ama uganda: wala siwateti Kenya ni ukweli kabisa, ila mpaka upate huo mshahara ndugu yangu utakayopitia ni story ingine, bila kusahau hio 300,000 tsh hata ukipewa kila kitu kama food and other services haifiki 2 weeks hio hela
 
Haifiki 2 weeks ukimaanisha nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.

Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
Hiyo elfu 40 umeitoa wapi,hiyo salary market survey imefanywa na nani na report ni ya mwaka gani
 
Back
Top Bottom