Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Wakenya kwenye suala la mshahara kati ya Tanzania na Kenya Kenya ndio mnyamaze kabisa
Kuna kisa kimoja kilitokea juzi kati kwenye company kubwa ya Kimataifa yenye project kwenye baadhi ya mikoa Bongo, ule mradi ni almost 600B so you can imagine na ni mradi ya miaka mi4
Basi kukatokea chances nyingi za foremen na specialisations tofauti, sa sijui hizo taarifa zilifikaje Kenya mpaka kujikusanya na kuapply kazi kwa watu kama 15 hivi, of course hiyo company imeshaajiri watu zaidi ya 3.6k so far
Sasa wale wakenya sijui walipata vipi vitambulisho vya kura na HR akawapokea na kuwapa ajira, since unemployment Tanzania sio tatizo kubwa kama Kenya, wale wakenya wakaajiriwa wote kwenye ile company
Mshahara ulikua 15k per day
Overtime 17% ya day earning per hour
Na overtime hapo minimum ni 2 hours
NSSF 14% ya basic salary
4 NHIF beneficiaries
Wakenya bwana kama muwajuavyo, wana viherehere, much know sana, vinajifanya visomi kumbe washamba tu, hawakujua kwamba mkenya hawezi kupretend mtanzania hata kama akikaa Tanzania miaka 15 bado mother tongue itareveal tu kwamba wewe sio mtanzania (thanks to Nyerere's swahili language legacy)
Unajua mbongo kama unataka umuweze usimdharau, usimpelekeshe kama gari bovu na usijifanye much know sana ukizingatia hivyo vitu you will win millions of Tanzanians souls na hizi ndio tabia hakuna mkenya anaziweza
Unaambiwa week ilikua refu wale wakenya walitaitishwa kwenye kona na wafanyakazi wa kawaida tu na kuulizwa maswali ya kijasusi kwamba wawape majibu yanayojitosheleza la sivyo wataishia jela kwa kufake identities, maskini wakenya wa watu na kiswahili chao kilivyo kibovu walijitutumua kichizi kwa kujipachika makabila ya mipakani ili kuukwa U Tanzania lakini wapi!
Na mtanzania kumtofautisha na wengine ukiondoa lugha basi simple trick ni chanjo ya ndui na ndio hiyo iliwaondoa wale wakenya wote kazini fasta, walionewa huruma tu wakanyang'anywa vile vitambulisho badala ya kupelekwa mahakamani kwa kufake zile ids.
Sasa kwenye makampuni mengi ya ujenzi Tanzania kima cha chini ni 13k ambayo ukiipiga kwa mwezi roughly pamoja na allowances ni kama 480k - 540k (take home) huyu ni semi-skilled labour.
Nimetolea mfano wa hizi construction companies sababu ndio zinazoajiri maelfu ya Watanzania kwa sasa kutokana na sasa kuwa na miradi mingi mikubwa karibu kwenye kila Wilaya Tanzania nzima.