Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki

Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki

Ongeza Maarifa na Ujuzi walau ufikie digrii, ambayo iko recognized globally, Hapo unaweza walau compete for competitive renumerations.
Kwa level za Tz mzee ni shida tu degree holder wa kada yetu wenywe anakula 450000 sasa cjui unanishauri nkasome zaidi ili iweje
Labda ntafute vyanzo vingine vya mapato aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi za shamba ni Ngumu sana, Wewe huwezi. Badala yake fanya hata kazi za Bar, wanalipa zaidi ya hiyo
Mkuu mbona unanihukumu kabla hata hujaniambia ni kazi gani? Siwezi kufanya kazi bar bora nife
 
Unachokisema hapo ni kitu tofauti kabisa hakihusiani na Mada, Hapa tunazungumzia Ajira Rasmi,
Eti 40,00”/- yaani hata Vibarua wangu wa shamba nawalipa 5$ ped day plus meal, wewe hiyo umeitoa wapi?

Kima cha chini cha mshahara kwa watu wa mashambani Tanzania ni shilingi ngapi na serikalini ni shilingi ngapi kwani?
 
Unachokisema hapo ni kitu tofauti kabisa hakihusiani na Mada, Hapa tunazungumzia Ajira Rasmi,
Eti 40,00”/- yaani hata Vibarua wangu wa shamba nawalipa 5$ ped day plus meal, wewe hiyo umeitoa wapi?
Acheni uongo kwamba kibarua wa shamba unamlipa $5.

Kuweni wakweli.

Kima cha chini ni shs ngapi?

Na hii $422 ni nini?

Mimi ninafikiri Hii $422 ni wastan wa mishahara inayolipwa hapa Tanzania .

Si unajua hapa bongo kuna watu wanalipwa mpaka Tshs Mil 30 per month. hasa kwenye mashirika ya umma.

Pia ni lazima ujue wanaposema mshahara ni kitu gani kimo ndani yake. sio net pay wala sio basic pay ni gross pay, yaani basic pay + Nyumba+gari+chakula nk.

Mimi ninakubaliana na takwimu hizi kwa mtazamo wa kifisadi fisadi wakati uleeeeeeeeeeeeeee.


Na Mh Magufulu! Mzee upo kimya sana wale waliokuwa wanalipwa mamilioni kwa mwezi mbona bado wapo na sisi tia mchuzi pangu pakavu umetusahau au tusubiri wakati wa Poll
 
Tanzania tops the East Africa on The list of Countries with highest paying Jobs.
1. Libya-1713$
2.Zambia-1482$
3.South Africa-1188$
4.Namibia-753$
5.Mauritius-666$
6.Tanzania-422$
7.Morocco-402$
8.Zimbabwe-352$
9.Ghana-313$
10.Algeria-295$
Going by your shallow reasoning you are trying to potray Zambia as the second Largest economy in Africa beating even South Africa.Kizungumkuti Ni kizungu...huelewi ripoti lakini unakimbia hapa kuonyesha ujinga wako.
 
Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta
Serikali imetangaza viwango vipya vya chini vya mishahara kisekta ambavyo vinatofautiana kati ya sekta moja na nyingine ambavyo ni kuanzia Sh40,000 hadi Sh400,000 kwa mwezi kuanzia Julai Mosi mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema, watakaolipwa kima kidogo zaidi cha Sh40,000 ni wafanyakazi wa nyumbani ambao wameajiriwa na watu wa kawaida huku wakiishi kwenye nyumba za waajiri wao.
Kwa upande mwingine, katika viwango hivyo, kima kikubwa katika viwango hivyo cha Sh400,000 kitalipwa kwa wafanyakazi wa sekta za mawasiliano zikiwamo kampuni za simu, kampuni za kimataifa za nishati, madini na taasisi za fedha.
Kwahiyo kwa hii habari unawaunga mkono waliokukosoa sio?! Ambao walikuambia hiyo 40K ni ya wafanyakazi wa ndani a.k.a housegirls, tena "wanaoajiriwa" na locals, especially Uswahilini!!
 
Dah! Eti Tz housegirl analipwa 40,000 hela ya madafu? Kenya mshahara wa chini kabisa kwa housegirl ni KES 13,500 hiyo ni 310,500 tzshs!
Unazungumzia viwango vya kisiasa ambavyo hata Tanzania back in 2015 walipandisha na kufikia 100K!! Uhalisia soma maoni ya Wakenya wenzako wakizungumzia hilo ongezeko:-
Fiona Oyugi
When God blesses me... sawa i will even 25k..but as I await that blessing... i can only do that if she pays the rent of her room, like i do my house and buy her meals.... i pay my rent n meals from my salo.... and this is inhuman since i live with her n love her like family. Money aint everything.
Daniel Kariuki
I think the government should top up for these workers to take them to this level. Verybfew employers can afford this
Kate Wa Gladys
So that messenger warning 13,500/= how much should she pay her house girl? Her entire salary?
Ashuma Chiboole

A government out of reality of it's majority citizens' plight.
"Let them eat cake" - Marie Antoinette.

Caroline Muthoni
I cant say more than believe in what sonko said on jkl...... This government is high on something. Why dont they increase payment to the employer n we can be able to pay that amount. 13,500 n they r living under our roof, food on us n some really misuse stuffs, so at the end of the month we end paying them twendy faefu thousandy

With the high number of unemployment rate(40%) in the country, I think this is the government shooting itself on the foot. Increasing the minimum wage will mean people are less likely to be hired because the cost is too prohibitive.
Wathithi Wa Wambui
Just because u earn millions we don't do the same. Ask the src to increase our salary atleast to 100k at this point we can now listen to you
Hao ni Wakenya wenzako na WOTE wameonesha ni namna gani hiyo rate ilivyo impractical! And tell you what?! Hayo ni baadhi tu ya maoni, na nimeyachukua kuanzia top down bila kuchuja lakini 99.9% ya Wachangiaji wameonesha hiyo rate ni impractical!
 
Going by your shallow reasoning you are trying to potray Zambia as the second Largest economy in Africa beating even South Africa.Kizungumkuti Ni kizungu...huelewi ripoti lakini unakimbia hapa kuonyesha ujinga wako.
Did he mention anywhere about national economies?! Why sounding like you're the one having a serious English problem; the very same language you guys been feeling very proud of, though it's not even your native language!!!!
 
Unazungumzia viwango vya kisiasa ambavyo hata Tanzania back in 2015 walipandisha na kufikia 100K!! Uhalisia soma maoni ya Wakenya wenzako wakizungumzia hilo ongezeko:- https://www.facebook.com/otiso.richardsonHao ni Wakenya wenzako na WOTE wameonesha ni namna gani hiyo rate ilivyo impractical! And tell you what?! Hayo ni baadhi tu ya maoni, na nimeyachukua kuanzia top down bila kuchuja lakini 99.9% ya Wachangiaji wameonesha hiyo rate ni impractical!
KES 13,500 ni muongozo tu wa serikali ya Kenya kuhusu mishahara rasmi ya mahouse girl. Hata wale ambao huwa hawalipwi mishahara rasmi hawawezi wakakubali hela chini ya KES10,000. Hiyo tayari ni takriban 230,000 Tzshs, umesema Tz walipandishiwa hadi 100,000, hiyo ni KES 4347 tu! Labour union za kushughulikia maslahi ya wafanyikazi nchini Kenya huwa zina nguvu na sio za kisiasa. Sio mara moja au mbili ambapo waajiriwa nchini Kenya wamefikisha serikali mahakamani kwasababu ya mishahara yao.
 
Nilitaka nishangae maana hata thamani ya hela yetu tu inaonesha kuwa hela ya Kenya ipo juu zaidi yetu sasa ikawa sielewi hapo tunapowapita mishahara wenye pesa ya juu zaidi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
LOL pesa haipimwi hivyo, fanya utafiti ujue ukiwa na buku 1 inanunua kitu gani Tanzania na inanunua kitu gani Kenya

Hapo ndio utajua pesa ipi ina purchasing power kubwa zaidi ya nyingine, kama ni kudhibiti mlundikano wa sufuri kwenye pesa yetu, bot hata kesho wakitaka 10,000 iwe 100 wanaweza.
 
On average a house girl kenya hua wanalipwa sio chini ya 300,000tsh. Wala sio uongo wengine wanaenda zaidi ya hapa, and most of them hua wanakuaga from tz ama uganda: wala siwateti Kenya ni ukweli kabisa, ila mpaka upate huo mshahara ndugu yangu utakayopitia ni story ingine, bila kusahau hio 300,000 tsh hata ukipewa kila kitu kama food and other services haifiki 2 weeks hio hela
Mmmmh eti mtanzania akawe house girl Kenya? Lol Kenya yenyewe ni capital of world's housemaids, uarabuni 80% ya housemaids ni wakenya hapo sijaongelea nchi za wazungu

Unapoona Kenya Inaongoza kwa kupokea remittances kubwa ni Pesa za wasugua vyoo na waosha chupi za waarabu hizo, Kenya ni taifa la wavivu sana, kuna wa Kenya wengi wapo tuu wanasubiri punda wa muarabu awatumie pesa Western Union za kutanua
 
Back
Top Bottom