Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki

Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki

Tanzania tops the East Africa on The list of Countries with highest paying Jobs.
1. Libya-1713$
2.Zambia-1482$
3.South Africa-1188$
4.Namibia-753$
5.Mauritius-666$
6.Tanzania-422$
7.Morocco-402$
8.Zimbabwe-352$
9.Ghana-313$
10.Algeria-295$
Kumbe ndiyo maana Magufuli hataki kuongeza mishahara? Tusije tukawazidi Libya😀😀
 
Unajua maana ya source ya kueleweka wewe?! Yaani pamoja na kwamba dunia ina uchu sana taarifa, lakini ukiangalia Alexa Ranking ya source yako ni:-
View attachment 1295848
Halafu kwenye About Us wanajigamba:-One of the world largest info source wakati hata visitors hawana!!!

[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimecheka kwa Sauti,
 
40k?
Hakuna mshahara wa aina hiyo, watumishi wa majumbani wanaliowa 60k
Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.

Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kima cha chini cha TZS 40,000 katika sekta rasmi......Labda unaongelea nini cijui.Sekta isiyorasmi yenyewe kwa Tanzania wanalipwa wastani wa kati ya TZS 6000-10000 kwa siku pamoja na marupurupu mengine Mfano.Mfanyakazi wa Bar ndogo,hausemaid na wengine Barmaids wanalipwa kati ya TZS 90,000 na 200,000 na bado wanapewa mahali pa kukaa na boss wao,chakula wanapewa na Boss wao na bado wanakula vichwa vya kutosha kabisa nje ya muda wa kazi.
 
Kwani wafanyakazi wa majumbani sio wafanyakazi? Sio waajiriwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni waajiriwa ambao mfumo wao Wa ajira hauwaweki hata kwenye category ya kulipia kodi na mambo mengine ya kiserikali, hawa wengi wao huajiriwa kwa ajira za makubaliano yasiyo na kiwango maalumu japo serikali iliwahi jadili mfumo wao.
Anaishi kwa mwajiri akihudumiwa kama sehemu ya familia.
Wapo wanaolipwa mpaka elfu 10.

Kwanza kabisa kwenye suala la wafanyakazi wa nyumbani wako wa aina nyingi,kuna hawa ambao huwa ni under age-wenye umri mdogo ambao kiuhalisia huwezi sema ni wafanyakazi bali ni kutokana tu na umaskini wa wazazi wao ndio maana wanaenda kuishi kwa mwajiri ambapo pesa wanayopewa sio mshahara na kama allowance huku wakilelewa kama watoto wa nyumbani na kufanya shughuli za kawaida za nyumbani kama vile kupika,kufua na kuangalia watoto ambao ni kama wadogo zao.Mfanyakazi wa nyumbani proper halipwi chini ya 100,000 na mara nyingine zaidi kutegemea na uwezo wa mwajiri na aina ya kazi.
 
Amezoea sana kujikuta mjuaji anayejua kila kitu kumbe ni bonge la kilaza [emoji23][emoji23][emoji23] leo kapokea sindano kweli kweli, alijua atapata wajinga wenzake wa kumuunga mkono.

Juzi alikuja na Ujinga wa Internet akala za uso, Leo tena amejichanganya, Hawezi kurudi humu tena leo.
 
Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.

Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
Hiyo 40 ya kwako kima cha chini si hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo 40 ya kwako kima cha chini si hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Wala sio mimi, serikali yenu ndio imewek hivyo, kuna wengi mnateseka japo kimya kimya, kwa kweli unalipwa 40,000 Tshs halafu hela zenu zilivyo madafu
 
Back
Top Bottom