Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki

Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki

Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.
Hatupp huko acha distortion
 
Wewe ni nani tukusklize wakati serikali yenu yenyewe imesema
Ndio mana huwa nawachukia sana wakenya
Hilo gazeti ni la 2013,lakini unalitumia kujiondolea stress wewe na nyumbu wenzio
 
Ndio mana huwa nawachukia sana wakenya
Hilo gazeti ni la 2013,lakini unalitumia kujiondolea stress wewe na nyumbu wenzio

Tuchukie sisi ila usichukie ukweli, hiyo hapo ni miaka sita, awamu ya tano haijaongeza chochote kutwa mnapiga makelele mkilaumu. Halafu kwa mwaka kawaida huwa mnaongeza kama 10,000 hivyo utakuta kama mumejaribu sana, hapo labda kima kimepanda hadi 60,000
 
On average a house girl kenya hua wanalipwa sio chini ya 300,000tsh. Wala sio uongo wengine wanaenda zaidi ya hapa, and most of them hua wanakuaga from tz ama uganda: wala siwateti Kenya ni ukweli kabisa, ila mpaka upate huo mshahara ndugu yangu utakayopitia ni story ingine, bila kusahau hio 300,000 tsh hata ukipewa kila kitu kama food and other services haifiki 2 weeks hio hela
Kakangu anaishi househelp kutoka Tanzania amamfanyia sasa one year. Unaposema mshahara haifikii hata wiki mbili unamaanisha nini. Pesa inategemea tu unavyotumia, not how much you earn. Kunao wanapokea hadi Ksh 500k per month na maisha yao haisongi mbele na kuna wanapokea elfu ishirini na wako na maendeleo makubwa
 
Mmmmh eti mtanzania akawe house girl Kenya? Lol Kenya yenyewe ni capital of world's housemaids, uarabuni 80% ya housemaids ni wakenya hapo sijaongelea nchi za wazungu

Unapoona Kenya Inaongoza kwa kupokea remittances kubwa ni Pesa za wasugua vyoo na waosha chupi za waarabu hizo, Kenya ni taifa la wavivu sana, kuna wa Kenya wengi wapo tuu wanasubiri punda wa muarabu awatumie pesa Western Union za kutanua
As I write this, my brother has a housemaid from Mara region in Tanzania. Mshahara wake elfu kumi
 
Don't be emotional bro lest you write us another poem.
Bruh!!!!
tenor.gif
 
Mmmmh eti mtanzania akawe house girl Kenya? Lol Kenya yenyewe ni capital of world's housemaids, uarabuni 80% ya housemaids ni wakenya hapo sijaongelea nchi za wazungu

Unapoona Kenya Inaongoza kwa kupokea remittances kubwa ni Pesa za wasugua vyoo na waosha chupi za waarabu hizo, Kenya ni taifa la wavivu sana, kuna wa Kenya wengi wapo tuu wanasubiri punda wa muarabu awatumie pesa Western Union za kutanua

You are so silly, I pay my TZ househelp Ksh.14,000/. Countless girls/women from Tz are working in Kenya as househelps.
 
Back
Top Bottom