Hahaha hiyo 40,000 unamlipa dada wa kazi ama......Tulia sindano ikuingie umepewa hadi source unaleta ujanjaujanja....Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.
Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
List of Minimum Wage in African Countries, All countries A-Z
Here is the list of minimum wage in African countries. This post covers every detail about all the Minimum Wage in African Countries. We have alphabetic....worldbestinfo.com
Hahaha hiyo 40,000 unamlipa dada wa kazi ama......Tulie sindano ikuingie umepewa hadi source unaleta ujanjaujanja....
Unashangaa nini wakati nimeweka hadi source ya kueleweka, wacha nyie mnaleta blogs uchwara.
Kima cha chini hicho umekitoa wapi hawa Dada wazo wanafundisha nursery schools hapa bongo uwaulizeHii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.
Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
List of Minimum Wage in African Countries, All countries A-Z
Here is the list of minimum wage in African countries. This post covers every detail about all the Minimum Wage in African Countries. We have alphabetic....worldbestinfo.com
Acha na huyo nyang'auUnachokisema hapo ni kitu tofauti kabisa hakihusiani na Mada, Hapa tunazungumzia Ajira Rasmi,
Eti 40,00”/- yaani hata Vibarua wangu wa shamba nawalipa 5$ ped day plus meal, wewe hiyo umeitoa wapi?
Hii mintandao inawadanganya sana, kima cha chini cha mshahara Tanzania sio 40 elfu labda kwa wafanyakazi Wa majumbani .Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.
Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
List of Minimum Wage in African Countries, All countries A-Z
Here is the list of minimum wage in African countries. This post covers every detail about all the Minimum Wage in African Countries. We have alphabetic....worldbestinfo.com
Tafuta Waraka wa Serikali mwaka 2013! Hiyo 40K ni Wafanyakazi wa Ndani, tena kwa Local Employees!Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.
Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
List of Minimum Wage in African Countries, All countries A-Z
Here is the list of minimum wage in African countries. This post covers every detail about all the Minimum Wage in African Countries. We have alphabetic....worldbestinfo.com
Sio labda Mkuu, umepatia! Hiyo 40K ni kwa ma-House Girl; kwa mujibu wa Kima Cha Chini ambacho kilitangazwa mwaka 2013.Hii mintandao inawadanganya sana, kima cha chini cha mshahara Tanzania sio 40 elfu labda kwa wafanyakazi Wa majumbani .
Ingia website ya Tanzania Revenue Authority ujithibitishie.
Ujui mfumo wa mishahara tz hiyo sh 50000 ni house girl wa uswazi ndiyo wanalipwa hivyo Kwa serikalini sidhani kama kima cha chini ni chini ya 250000tsh = 12500kshHii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.
Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
List of Minimum Wage in African Countries, All countries A-Z
Here is the list of minimum wage in African countries. This post covers every detail about all the Minimum Wage in African Countries. We have alphabetic....worldbestinfo.com
Unajua maana ya source ya kueleweka wewe?! Yaani pamoja na kwamba dunia ina uchu sana taarifa, lakini ukiangalia Alexa Ranking ya source yako ni:-Unashangaa nini wakati nimeweka hadi source ya kueleweka, wacha nyie mnaleta blogs uchwara.
One of the world largest info source wakati hata visitors hawana!!!Worldbestinfo is one of the world largest general information site.
Hizo highest paying job ni zipi?Tanzania tops the East Africa on The list of Countries with highest paying Jobs.
1. Libya-1713$
2.Zambia-1482$
3.South Africa-1188$
4.Namibia-753$
5.Mauritius-666$
6.Tanzania-422$
7.Morocco-402$
8.Zimbabwe-352$
9.Ghana-313$
10.Algeria-295$
Business Insider Africa
Read the latest news across entertainment, sports, business and morewww.pulse.com.gh
Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.
Tanzania namba 43 Afrika kwenye orodha ya mataifa ya Afrika kulingana na kima cha chini cha mshahara huku Kenya ikiwa namba 20.
Mkenya wa chini kabisa anapata Kshs 6,415.55 (Tshs 153,973.2)
List of Minimum Wage in African Countries, All countries A-Z
Here is the list of minimum wage in African countries. This post covers every detail about all the Minimum Wage in African Countries. We have alphabetic....worldbestinfo.com
Hata wachezaji wenu wa mpira wakilala wanaota kuja kuchezea Tanzania ili apate mshahara mnono, uwez kuona hata ckumoja mchezaji wa Tanzania akatamani kuchezea KenyaUnashangaa nini wakati nimeweka hadi source ya kueleweka, wacha nyie mnaleta blogs uchwara.
Unachokisema hapo ni kitu tofauti kabisa hakihusiani na Mada, Hapa tunazungumzia Ajira Rasmi,
Eti 40,00”/- yaani hata Vibarua wangu wa shamba nawalipa 5$ ped day plus meal, wewe hiyo umeitoa wapi?
Mwaka gani hiyo[emoji12][emoji12][emoji12]Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta
Serikali imetangaza viwango vipya vya chini vya mishahara kisekta ambavyo vinatofautiana kati ya sekta moja na nyingine ambavyo ni kuanzia Sh40,000 hadi Sh400,000 kwa mwezi kuanzia Julai Mosi mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema, watakaolipwa kima kidogo zaidi cha Sh40,000 ni wafanyakazi wa nyumbani ambao wameajiriwa na watu wa kawaida huku wakiishi kwenye nyumba za waajiri wao.
Kwa upande mwingine, katika viwango hivyo, kima kikubwa katika viwango hivyo cha Sh400,000 kitalipwa kwa wafanyakazi wa sekta za mawasiliano zikiwamo kampuni za simu, kampuni za kimataifa za nishati, madini na taasisi za fedha.
Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta
Serikali imetangaza viwango vipya vya chini vya mishahara kisekta ambavyo vinatofautiana kati ya sekta moja na nyingine ambavyo ni kuanzia Sh40,000 hadi Sh400,000 kwa mwezi kuanzia Julai Mosi mwakawww.mwananchi.co.tz