Wafanyakazi wa Tanzania hulipwa mishahara mikubwa zaidi Africa Mashariki

Hii umeokota wapi, maana kwa data zilizopo ni kwamba Tanzania kima cha chini cha mishahara ni mateso mtupu, Tshs 40,000 jameni mtu unaishi vipi hiyo Bongo, umaskini wa kutupwa kabisa huo.
Hatupp huko acha distortion
 
Ndio mana huwa nawachukia sana wakenya
Hilo gazeti ni la 2013,lakini unalitumia kujiondolea stress wewe na nyumbu wenzio
 
Ndio mana huwa nawachukia sana wakenya
Hilo gazeti ni la 2013,lakini unalitumia kujiondolea stress wewe na nyumbu wenzio

Tuchukie sisi ila usichukie ukweli, hiyo hapo ni miaka sita, awamu ya tano haijaongeza chochote kutwa mnapiga makelele mkilaumu. Halafu kwa mwaka kawaida huwa mnaongeza kama 10,000 hivyo utakuta kama mumejaribu sana, hapo labda kima kimepanda hadi 60,000
 
Kakangu anaishi househelp kutoka Tanzania amamfanyia sasa one year. Unaposema mshahara haifikii hata wiki mbili unamaanisha nini. Pesa inategemea tu unavyotumia, not how much you earn. Kunao wanapokea hadi Ksh 500k per month na maisha yao haisongi mbele na kuna wanapokea elfu ishirini na wako na maendeleo makubwa
 
As I write this, my brother has a housemaid from Mara region in Tanzania. Mshahara wake elfu kumi
 

You are so silly, I pay my TZ househelp Ksh.14,000/. Countless girls/women from Tz are working in Kenya as househelps.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…