Kama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.
Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts halafu wanapita mbele ya mhe rais wakikimbizwa kama kuku wa mgeni ama mbwa mwizi.
Watu wazima wanakimbizwa kama watoto wa shule za msingi. Inachefua hata kuangalia kupitia runinga.
Aibu naona mimi.