AahahaaaaaWanawahi muda ili wasicheleweshe ratiba nyingine, hata kama tukio linawahusu wao!..
Hatari sana.
AahhaaaaaaKama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.
Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts halafu wanapita mbele ya mhe rais wakikimbizwa kama kuku wa mgeni ama mbwa mwizi.
Watu wazima wanakimbizwa kama watoto wa shule za msingi. Inachefua hata kuangalia kupitia runinga.
Aibu naona mimi.
AahhaaaaWatumishi Wana furaha sana
Tanzania hamna Wafanyakazi....Kama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.
Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts halafu wanapita mbele ya mhe rais wakikimbizwa kama kuku wa mgeni ama mbwa mwizi.
Watu wazima wanakimbizwa kama watoto wa shule za msingi. Inachefua hata kuangalia kupitia runinga.
Aibu naona mimi.
Kama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.
Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts halafu wanapita mbele ya mhe rais wakikimbizwa kama kuku wa mgeni ama mbwa mwizi.
Watu wazima wanakimbizwa kama watoto wa shule za msingi. Inachefua hata kuangalia kupitia runinga.
Aibu naona mimi.
AhahaaaaaAjira ni kama ndoa, hakuna cha kulalamika
Sasa kama unasema wanakimbizwa je wanapokuwa kwenye mazoezi yao binafsi kuweka miili yao fit kwa jogging au gym utasemaje.Kama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.