TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

Nimesikitika kupata taarifa kuwa walikua wanakimbiza piki piki iliyobeba Vitenge Mungu atusaidie kwa kweli unawezaje kutumia LX kukimbiza boxer kama mnaendelea kufanya hiyo mambo acheni kabisa mnahatarisha maisha yenu bila kujua hawawezi kutangaza chanzo wanajua ni ujinga ila ndio habari za watu wa road wamepata hizo...
 
Ila hio gari kwa mtazamo tu ni kuwa imeliwa kushoto na eneo lililolika ni kofia so imevuka bonnet ikala kofia yote upande wa kushoto mpaka mlango wa nyuma😅!

Its likely jamaa alitaka kutoka akiwa kashavuta speed. IST akachomeka mbele ya lorry ikabidi mwenye Fuso aminye brakes za ghafla kumuachia IST aingie kati kabla hajabamizwa na lorry jengine linalokuja uso kwa uso, so hawa TRA walipotaka kufuata wakaona moto wa horse! Dereva akaiuma corner ya fuso nyuma ndio ikamenya kofia yote mpaka nyuma
 
Tunaweza kubishana sana lakini ukweli unabaki pale pale, magari ni mabovu ni hatari kwa watumiaji wengine, barabara zisiwe garage
 
Unauza ng'ombe kwa kesi ya kuku
 
Ninachoona hapa ni kwamba wafanyakazi wa TRA wanachukiwa na wananchi Kama polisi.
TRA ni kati ya watu wasiotenda haki kwa jamii ya Watz. Hivyo ni wazi watu wawachukie na kuwaombea mabaya.
 
Polisi wana njaa sana, hawaaminiki na mamlaka nyingine.

Inakuwaje wahamiaji haramu kutoka Ethiopia wanakamatwa Mbeya?
 
Walikuwa wanawaza nini kufukuzia magendo?.. Unafukuzanaje na watu wamejitoa muhanga ??? ..

Halafu unazifukuzia kodi hivo, wenye nchi wanazigawanya kwenye posho za vikao.

Aisee wanaoifia hii nchi wana mioyo ya chuma
mkuu hao hawajafia nchi wamefia njaa zao utashangaa wangewakamata wangepokea buku 2 ya chai tu
 
Najua unajitahidi kutafakari ila hao wa tra ni wazembe kupindukia!! Kwani hayo magendo wangeyakamata ndio tungeingia uchumi wa kati!! Au walikiwa wanakimbilia matumbo yao!? Rushwa tupu!!!
Mkuu Walichokua wanafanya ni moja ya jukumu lao la msingi la kazi waliyoomba.
Hakuna jukumu LA kujitoa uhai kwa uzembe
 
Najua unajitahidi kutafakari ila hao wa tra ni wazembe kupindukia!! Kwani hayo magendo wangeyakamata ndio tungeingia uchumi wa kati!! Au walikiwa wanakimbilia matumbo yao!? Rushwa tupu!!!

Hakuna jukumu LA kujitoa uhai kwa uzembe
Rushwa ndio inatafutwa hapo sio ishu ya uzalendo
 
Hii ajali ya ajabu aisee! Sasa inakuwaje dereva anagonga gari kwa nyuma alikuwa haoni ama ni mambo ya mzizioloji 👻?
Labda gari kubwa lili simama ghafla,hapa kutakuwa na kamchezo kachafu kamechezwa,hao watuhumiwa it seems hawakuwa peke yao kuna gari jingine labda liliwachomekea wakajikuta wamejaa kwenye lori,hilo eneo kama ni katikati ya Tunduma na Vwawa pamenyooka sana lazima walikuwa zaidi ya km 160 kwa saa,MUNGU awalaze pema peponi.
 
Unawajua kumbe..!!
 
Kaka. Kaa mbali na wafanyabiashara wa Makete, Njombe, Mbeya na Mbozi.
Hao mabilionea wanaovaa ndala, wasiokula nyama, wasio na michepuko Wana maagano makubwa sana na ibilisi.
Mwingine ana marufuku ya kuchana nywele, mwingine kuvaa suti mwiko na mwingine asilalie kitanda asilani. Jamani jamani...
 
Actually huu ndio utaratibu wa majirani zetu hapo Kigali. Gari likiharibikia barabarani; Trafiki anakuja kukusimamia utengeneze. Kama halijapona ndani ya masaa matatu; anaita zile gari za kuvuta ili zije kukutoa barabarani; na hizo gharama utalipia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…