TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

TRA inakimbizana na wafanya biashara haramu/magendo. Walishindwaje kutoa taarifa kwa polisi waliyokuwa doria kulifukuza hilo gari? Acha wapumzike watu wapate ajira maana kufukuzia magendo lazims uchoke hivyo yakubidi upumzike
Ukiwashirkisha polisi kwenye issue ya magendo lazima wauzishe mechi...
 
Hawa jamaa walikua wanakimbiza gari yenye mzigo wa magendo, mwenye hio gari aliovertake hilo lori kukawa na lori lingine linakuja face to face (mwenye magendo) akafanikiwa kulipita hilo lori, hii cruiser ikashindwa kupita maana lori lingine lilikua karibu tayari ikabidi jamaa apige hili lori kwa nyuma ndo akazama uvunguni..ila yote kwa yote hata tusemaje ndugu zetu hawa hawawezi kurudi tenda...pumzika kwa Amani mwanangu Saidi Buddy....jamaa alikua mwana kichizi....
According to dereva wa lori anasema ilikuwa ni IST hahahaa jamaa itakuwa alifuta kisahani cha ist
 
Mpemba Kuna Barrier, Senjele mlimani Kuna gari ya doria Nanyara kwa Feston Kuna Barrier. Miaka ya nyuma ndio watu walikuwa wakikimbizana Tunduma - Mbeya kisa magendo.

Hao wangepiga simu kuwashirikisha polisi wa Vwawa kazi ingeisha mapema, na mgao ungekuwa wa watu wengi. Mara ya mwisho miaka ya 2014 magendo walikuwa wanatumia pikipiki Tunduma-Makambako roho mkononi na lazima njia isafishwe kwa posho na waende kwa convoy ukiachwa imekula kwako.
 
yani wangekufa hata 20, leo ningetoa ofa pale kijiweni........wacha kabisa mangi.....walikamata kwenye 18 zao baba......yaani wanataka rushwa kibabe...mbwa mbwai.....yaani wangenifilisi kimya kimya....ILA MUNGU NINAEMUAMINI NDIO alinitoa SALAMA.... usiwaamini kabisa...hata kama alikusaidia...awe she au me...mzee au kijana.....yaani nina mbwa wangu nimempa jina la mmoja wao......ni jike nimempa la kiume...shiiiit..
Pole chief, I can feel your pain. Mtu ambae hajawahi kukutana na sekeseke na watu wa TRA hawezi kuelewa. Kuna wanaojali pesa tu, hawana hata chembe ya utu. Tushawahi kutwa na kosa la mteja kutopewa risiti ya 7,800 tu tena kwa sababu aliondoka mwenyewe kwa haraka zake. Aisee, jamaa wakataka milioni mbili au waandike faini ya milioni nne. Kumbe walikaa takribani masaa mawili nje ofisi wanakagua risiti za wateja wanaotoka shop mpaka walipombamba huyo wa 7,800.
 
njaa na tamaa imewaua sijawaonea hata huruma itakuwa walikuwa wanatafta ulaji wa asubuhi maana hata wangekamata hayo magendo haikuwa katika manufaa ya taifa iilikuwa wapige hela alafu watu wawatu waende zao
 
Wanaikimbiza gari ya magendo
Vile vinoah , viprobox vikishona mzigo
Mwendo wao usifate
Kama kuna mtu ashawahi ona gari zinazo beba mirungi huko kenya,mwendo wao hauna tofauti

Ova
Hao hao wa Tunduma na Vwawa miaka ya nyuma walikuwa wanatumia Land Rover Defender Puma 90, walipata tabu Sana kuzikimbiza Toyota Hiace za Tunduma-Mbeya walikuwa wanabeba Vipodozi, sukari na juisi.
 
Hao hao wa Tunduma na Vwawa miaka ya nyuma walikuwa wanatumia Land Rover Defender Puma 90, walipata tabu Sana kuzikimbiza Toyota Hiace za Tunduma-Mbeya walikuwa wanabeba Vipodozi, sukari na juisi.
Tunduma kuna njia za panya kama 250
Kutokea zambia
Madereva wa kubeba magendo roho zao washazikqbidhi kwa mola😂😂

Ova
 
Wauza magendo unafikiri wana magari yanayokimbia kivile basi,ila wanambinu za kukukalisha hapo barabarani mpaka ushangae na roho yako hata uje na benz- 🤣 🤣 🤣 . Nakumbuka mzee alikuwa anawapasua watu vichwa na TOYOTA STOUT tu 🤣🤣 .
Watu wa magendo wao ni full confidence, hao TRA walikuwa moto Sana miaka ya 2005 hapo Tunduma walikuwa wanatumia Land Rover Defender 90 Puma. Lakini walikuwa wanasomeshwa Namba na Hiace zenye 2Y/3Y na 2rz.

Kwa nature ya njia hiyo kukimbia na Cruiser au Defender ni kusaka janga. Kutoka Tunduma- Mbeya Kuna miteremko mikali na malori mengi muda wote.
 
Dah Jamaa wamekuwa trapped kizembe sana. anyway hili linaweza kuwa funzo kwa wengine ! Gari ya magendo huwa inafuatiliwa kimkakati siyo kuikimbiza
 
kuna chuki kubwa kt ya wafanyabiashara wa mipakani tunduma na isongole zidi ya TRA na navyo yajua makabila ya wandali ni mabingwa sana wa kamati za ufundi
Lete Maneno
By JK


Mkuu Tafadhali Sana Hebu Mwaga Nondo Maana Una Mengi Sana Unayoyajua Huko
 
Wapo watu wa 5. Ingekuwa hilo gari linalodhaniwa la magendo lingekuwa la majambazi. Wangemudu purukushani?
Tatizo wanafanya kazi kwa sifa wamfurahishe mkubwa wao.
Hivyo ni vifo vya kizembe sana. Walitakiwa wapige simu polisi wafanye kazi yao. Kila hatua kadhaa kuna barrier za polisi na mizani.
KIKOSI kazi kinakuaga na watu wote, TRA, polisi, TBS, n.k
 
Wapo watu wa 5. Ingekuwa hilo gari linalodhaniwa la magendo lingekuwa la majambazi. Wangemudu purukushani?
Tatizo wanafanya kazi kwa sifa wamfurahishe mkubwa wao.
Hivyo ni vifo vya kizembe sana. Walitakiwa wapige simu polisi wafanye kazi yao. Kila hatua kadhaa kuna barrier za polisi na mizani.
Ni Kweli
 
Tunduma kuna njia za panya kama 250
Kutokea zambia
Madereva wa kubeba magendo roho zao washazikqbidhi kwa mola😂😂

Ova
Wazee wa magendo Wana balaa, usiwafate hata kidogo. Hiyo road ya Tunduma-Mbeya kwenye milima mikali ya Iwambi,Songwe,senjere,chapwa,Old Vwawa wao ndio sehemu wanapokuacha wanafunguka hawaogopi malori yanayopita na gari wanatumia za kawaida.
 
Back
Top Bottom