TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

Wangelitoaje hapo..si kila section ya barabara unaweza litoa gari nje au pembezoni hasa hayo yenye mizigo. Barabara zetu ni nyembamba sana..na zingine pembezoni kuna mitaro, korongo au mwuinamo ambao kwa gari inakua ngumu kuliingiza humo.
Gari inapoharibika njiani kama huwezi kuitoa pale ni laziwe uweke alama za warning kutoka mbali ili magari yanayokuja yapunguza mwende.
 
Ukiwakuta kwenye kumi na nane zao utadhani hawaendi chooni. Yaani wastaarabu Fulani Kama Ni bar utakuta wanakunywa HENNESSY wakati mama zao wanauza ulanzi na msabe kwenye vilabu vya Makunguru Mwanjelwa
😂😂😂😂😂hivi msabe hii ni pombe ya nini?

Niliisikia kipindi fulani iringa na sasa Makunguru unasema
 
Una kuta TRA wamenyoka na Boda. Unajiuliza akili zao zipo likizo Ama!
 
nacho jua kazi ya kufukuza wa halifu kwa kukimbizana magari kwa magari ni POLISI sasa dereva wa TRA angeweza kumdu mishe mishe na gari ya magendo R.P kazi ya MUNGU haina haina makosa pole wafiwa kwa msiba
 
Songwe. Wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) wamefariki dunia kwa ajali ya gari aina ya land cruiser lililogonga kwa nyuma Lori aina Fuso.

Ajali hiyo imetokea leo Agosti 23, 2021 saa 11 alfajiri katika eneo la Hanseketwa wilayani Mbozi, Songwe.

Polisi imethibitisha
Saa 11 alffajiri!!!! Ndo muda wao wa kufanya kazi? Kama ni issue ya magendo polisi si ndo walipaswa kufatilia? Hapa kuna harufu ya upigaji tu hakuna kingine. Mungu azipe nguvu familia zao.
 
Kuna mahali watumishi wa kila idara nchi hii wafundishwe namna ya kutekeleza majukumu yao na ikiwa yamewazidi unga ni hatua ipi ifanywe na idara nyingine,

Wewe huyo huyo mtoza ushuru wewe huyo huyo unataka uwe polisi na wewe huyo huyo unataka uwe usalama daah nchi yangu wapi inakwenda[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwani unafiri hawajui majukumu yao mkuu, hapo kulikuwa na ulaji ndo maana wakaamua kulivalia njuga wenyewe.
 
Mi sio trafiki, ila hawa jamaa wanaonekana walikua wana overtake wakakutana face to face.. maana wapo upande wa kulia.. yaan ugonge gari kwa nyuma uchakae hivo?
Hawa jamaa walikua wanakimbiza gari yenye mzigo wa magendo, mwenye hio gari aliovertake hilo lori kukawa na lori lingine linakuja face to face (mwenye magendo) akafanikiwa kulipita hilo lori, hii cruiser ikashindwa kupita maana lori lingine lilikua karibu tayari ikabidi jamaa apige hili lori kwa nyuma ndo akazama uvunguni..ila yote kwa yote hata tusemaje ndugu zetu hawa hawawezi kurudi tenda...pumzika kwa Amani mwanangu Saidi Buddy....jamaa alikua mwana kichizi....
 
LX. imekatwa roof huo moto ulikuwa si wa kitoto ...ukizingatia madereva wa Serikali wengine ndio hivyo tena kupeana kazi kindugu ( no experience)
 
Back
Top Bottom