Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
TRA wanalazimisha kmajuku yasiyo kuwa yao; kazi ya kufukuza na kukamata wafanya magendo ni ya polisi. Wao TRA walitaka wawahi mgawo. Polisi huwa na training maalumu ya kufukizia magari kwa spidi kubwa.Walikuwa wakilikimbiza gari lililohisiwa kubeba magendo.
Anya RIP, na pole sana kwa wafiwa. Watakuwa wameachia familia zao pendo kubwa sana kwani afisa wa TRA ndani ya familia siyo haba.