Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..


Kitendo cha huyu jamaa kupata watu wa kwenda kufanya hiyo kazi kimeniumiza na kunisikitisha sana, na hii inaonesha ni kiasi gani vijana wana shida ya ajira nchini.

Hii sio ajira ni utumwa wa wazi.
 
Amesema hamna hela nyingine zaidi ya mshahara .Tufanye nauli kwenda kurudi ni 1400 chai 1000 mchana 1500 dinner 1500 maji 1000
1400+1000+1500+1500+1000=6400
6400×30=192,000/=
Lakini kazi ni kazi vijana tusichague
Bado mahitaji ya kawaida yatakayomfanya awe nadhifu..

Wakati mwingine anachochea mtu awe mwizi..
 
Tsh 200,000 ÷ mwezi mmoja = Tsh 6,600 kwa siku.
Kijana very smart ajue kiingereza cha kusoma na kuandika. Hio pesa Kijana wa boda boda anaikamata chap masaa mawili mengi.
 
Nmeongea na kijana mmoja wapo aliyejipatia kazi ameniambia mambo n mazuri huko ofisini kwao na kazi inaendelea
 
Back
Top Bottom