Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

Kijana wa kiume laki 2 kwa mwezi atapata wapi pesa ya kuhonga na kumwagilia moyo.??
Au unataka awe memba wa CHAPUTA??
Kama han kazi akafanye bhana kuliko kubeti akabanwe huko Huko had akitoka saa tano Hana nguvu za kiume za kufikiriaa mademu[emoji3][emoji1787][emoji23]
 
Nimecheka hapo aliposema vijana watatu smart upstairs Dah nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji1787]

vijana smart walipwe laki mbili ha ha ha ha hapa nilipo nalipwa laki tano tu lakini naona kama nachinjwa Tu maana kuamka tu mzozo
Mkuu laki mbili ndefu
Kina mama Ana mghahawa hapa anawalipa wadadaa kwa siku elf 3000 na wako miezi sita zote hzi
 
Amesema hamna hela nyingine zaidi ya mshahara .Tufanye nauli kwenda kurudi ni 1400 chai 1000 mchana 1500 dinner 1500 maji 1000
1400+1000+1500+1500+1000=6400
6400×30=192,000/=
Lakini kazi ni kazi vijana tusichague
Inawezekana Kuna marupurupu na hyo Kaz anaeweza kufanya na akaiba Sana kwa siku hakozi elf 1500 yake
 
Hakuna OFF, hao wafanya kazi nguo zao wataosha mda gan?
Kuhusu malazi na chakula je? Hii kazi au utumwaaa? Lol.
Imagine jmn
Bora Badi aweke 2 awalipe laki 3
Though Bado kwenye muda kawabana sn,too much hata km mtu una shida🙌🙌
 
Ofisi ipo Dar es Salaam, Kimara inahitaji wafanyakazi watatu vijana "Very Smart Upstairs"

SIFA ZA WAHITAJIKA

-Elimu Form Four Na Kuendelea
-Ujue Kutumia Computer 100%
-Ujue Kingereza Kusoma Na Kuandika (Kuongea achia Wazungu)
-Usiwe Bonge
-Uwe Mwaminifu
-Ujue Customer Care

OFISI INAJIHUSISHA NA NINI?

MOVIE STORE yenye huduma tofauti ndani yake.

UZOEFU NA KAZI (nyongeza)

-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Kuingiza Movie kwa Wateja na anaezijua Movie na Series Kali kwa ajili ya Wateja Atapewa kipaumbele.

-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Uwakala wa Kibenki,Mitandao Ya Simu anaezijua changamoto zake Atapewa Kipaumbele.

Jinsia Wanahitajika : Wanaume Wawili + Mwanamke Mmoja

MSHAHARA : 200,000 kwa mwezi

MUDA WA KAZI :

J3 - Ijumaa : Saa 1 Asubuhi Hadi 5 Usiku

J2 - Saa 4 Asubuhi Hadi 5 Usiku

NOTE : HAMNA OFF wala HAMNA HELA NYONGEZA INAYOTOLEWA KWA MFANYAKAZI TOFAUTI NA MSHAHARA WAKE.

UDHAMINI :

Kwa wanaohitaji Kazi ukija PM Uwe na Barua 3

1.Mdhamini 1 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
2.Mdhamini 2 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
3.Barua yako ya Utambulisho Toka Serikali ya Mtaa.

PM ipo Wazi kwa wahitajk Kazi ni ya HARAKA Kwa Mwenye Sifa na amekamilika Kazi utaanza HAPO HAPO pindi umemaliza wasiliana na mimi.

Asanteni.
Halafu unakuta mapimbi yanakuja kutoa povu eti ooh kwenda Israel kufanya kazi mashambani ni utumwa! Sasa ona huyu mfanyabiashara ya utumwa yupo hapahapa Tanzania na anatangaza.

Israel mshahara 4,000,000 tsh
Tanzania. 200,000 tsh
Kwa mwezi.
 
Ni mjinga pekee ndiye atakubali ujinga wa kuitafuta 6,500 kwa masaa 20. Wakati boda boda ni trip kadhaa tu ushapata hio hela.
 
Ofisi ipo Dar es Salaam, Kimara inahitaji wafanyakazi watatu vijana "Very Smart Upstairs"

SIFA ZA WAHITAJIKA

-Elimu Form Four Na Kuendelea
-Ujue Kutumia Computer 100%
-Ujue Kingereza Kusoma Na Kuandika (Kuongea achia Wazungu)
-Usiwe Bonge
-Uwe Mwaminifu
-Ujue Customer Care

OFISI INAJIHUSISHA NA NINI?

MOVIE STORE yenye huduma tofauti ndani yake.

UZOEFU NA KAZI (nyongeza)

-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Kuingiza Movie kwa Wateja na anaezijua Movie na Series Kali kwa ajili ya Wateja Atapewa kipaumbele.

-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Uwakala wa Kibenki,Mitandao Ya Simu anaezijua changamoto zake Atapewa Kipaumbele.

Jinsia Wanahitajika : Wanaume Wawili + Mwanamke Mmoja

MSHAHARA : 200,000 kwa mwezi

MUDA WA KAZI :

J3 - Ijumaa : Saa 1 Asubuhi Hadi 5 Usiku

J2 - Saa 4 Asubuhi Hadi 5 Usiku

NOTE : HAMNA OFF wala HAMNA HELA NYONGEZA INAYOTOLEWA KWA MFANYAKAZI TOFAUTI NA MSHAHARA WAKE.

UDHAMINI :

Kwa wanaohitaji Kazi ukija PM Uwe na Barua 3

1.Mdhamini 1 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
2.Mdhamini 2 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
3.Barua yako ya Utambulisho Toka Serikali ya Mtaa.

PM ipo Wazi kwa wahitajk Kazi ni ya HARAKA Kwa Mwenye Sifa na amekamilika Kazi utaanza HAPO HAPO pindi umemaliza wasiliana na mimi.

Asanteni.
Huoni hata aibu mtu afanye kazi saa 1 asubuhi hadi 5 usiku kisha umlipe 200k

Acheni upumbavu, fanyeni wenyewe hizo kazi
 
😂😂😂😂😂ah qmmmmmk.... Maisha jamani ni fumbo !
 
Mkuu laki mbili ndefu
Kina mama Ana mghahawa hapa anawalipa wadadaa kwa siku elf 3000 na wako miezi sita zote hzi
Hao wanakula hapo, pia wanakaa karibu, pia mara nyingi wasaidizi huwa hawana majukumu mengi maana huwa ni 20s

Pia hawafanyi kazi masaa mengi kama hayo.

Bora 3000 ya mgahawani kuliko 6500 ya huyo mpuuzi
 
Back
Top Bottom