Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

Ofisi ipo Dar es Salaam, Kimara inahitaji wafanyakazi watatu vijana "Very Smart Upstairs"

SIFA ZA WAHITAJIKA

-Elimu Form Four Na Kuendelea
-Ujue Kutumia Computer 100%
-Ujue Kingereza Kusoma Na Kuandika (Kuongea achia Wazungu)
-Usiwe Bonge
-Uwe Mwaminifu
-Ujue Customer Care

OFISI INAJIHUSISHA NA NINI?

MOVIE STORE yenye huduma tofauti ndani yake.

UZOEFU NA KAZI (nyongeza)

-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Kuingiza Movie kwa Wateja na anaezijua Movie na Series Kali kwa ajili ya Wateja Atapewa kipaumbele.

-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Uwakala wa Kibenki,Mitandao Ya Simu anaezijua changamoto zake Atapewa Kipaumbele.

Jinsia Wanahitajika : Wanaume Wawili + Mwanamke Mmoja

MSHAHARA : 200,000 kwa mwezi

MUDA WA KAZI :

J3 - Ijumaa : Saa 1 Asubuhi Hadi 5 Usiku

J2 - Saa 4 Asubuhi Hadi 5 Usiku

NOTE : HAMNA OFF wala HAMNA HELA NYONGEZA INAYOTOLEWA KWA MFANYAKAZI TOFAUTI NA MSHAHARA WAKE.

UDHAMINI :

Kwa wanaohitaji Kazi ukija PM Uwe na Barua 3

1.Mdhamini 1 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
2.Mdhamini 2 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
3.Barua yako ya Utambulisho Toka Serikali ya Mtaa.

PM ipo Wazi kwa wahitajk Kazi ni ya HARAKA Kwa Mwenye Sifa na amekamilika Kazi utaanza HAPO HAPO pindi umemaliza wasiliana na mimi.

Asanteni.
Vigezo kibao kuzidi mshahara, acha us3nge
 
Nimecheka hapo aliposema vijana watatu smart upstairs nimecheka sana 🤣🤣🤔🤣

vijana smart walipwe laki mbili hapa nilipo nalipwa laki tano tu lakini naona kama nachinjwa kuamka tu mzozo
Mm kuna mahali najitolea lkn nakunja zaidi ya hiyo 200k yake, cjui ni kijana gn Smart anayemtaka kwahy pesa yake
 
Amesema hamna hela nyingine zaidi ya mshahara .Tufanye nauli kwenda kurudi ni 1400 chai 1000 mchana 1500 dinner 1500 maji 1000
1400+1000+1500+1500+1000=6400
6400×30=192,000/=
Lakini kazi ni kazi vijana tusichague
 
Ofisi ipo Dar es Salaam, Kimara inahitaji wafanyakazi watatu vijana "Very Smart Upstairs"

SIFA ZA WAHITAJIKA

-Elimu Form Four Na Kuendelea
-Ujue Kutumia Computer 100%
-Ujue Kingereza Kusoma Na Kuandika (Kuongea achia Wazungu)
-Usiwe Bonge
-Uwe Mwaminifu
-Ujue Customer Care

OFISI INAJIHUSISHA NA NINI?

MOVIE STORE yenye huduma tofauti ndani yake.

UZOEFU NA KAZI (nyongeza)

-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Kuingiza Movie kwa Wateja na anaezijua Movie na Series Kali kwa ajili ya Wateja Atapewa kipaumbele.

-Ambae amewahi Fanya Kazi ya Uwakala wa Kibenki,Mitandao Ya Simu anaezijua changamoto zake Atapewa Kipaumbele.

Jinsia Wanahitajika : Wanaume Wawili + Mwanamke Mmoja

MSHAHARA : 200,000 kwa mwezi

MUDA WA KAZI :

J3 - Ijumaa : Saa 1 Asubuhi Hadi 5 Usiku

J2 - Saa 4 Asubuhi Hadi 5 Usiku

NOTE : HAMNA OFF wala HAMNA HELA NYONGEZA INAYOTOLEWA KWA MFANYAKAZI TOFAUTI NA MSHAHARA WAKE.

UDHAMINI :

Kwa wanaohitaji Kazi ukija PM Uwe na Barua 3

1.Mdhamini 1 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
2.Mdhamini 2 (Barua yake ya utambulisho toka serikali ya Mtaa)
3.Barua yako ya Utambulisho Toka Serikali ya Mtaa.

PM ipo Wazi kwa wahitajk Kazi ni ya HARAKA Kwa Mwenye Sifa na amekamilika Kazi utaanza HAPO HAPO pindi umemaliza wasiliana na mimi.

Asanteni.
Mbona mtembeza kandoro anauwezo wa kukunja kiasi hicho na jua hili kali kwa siku🤔
 
Back
Top Bottom