Wafanyakazi wenzangu wananifanyia figisu nifukuzwe kazi

Wafanyakazi wenzangu wananifanyia figisu nifukuzwe kazi

Toa sadaka mungu akufanyie wepesi mambo yako,
Tafuta muhitaji wa sadaka na umpe hela ya kumtosheleza (50-100K sio mbaya), then omba mungu akuepushie na mitihan ikusibuye
 
Habarizenu humu!

Baada ya salamu,naomba niwasilishe changamoto ilionifanya niandike leo, mimi nimuajiriwa kwenye organization ABC, kwa bahati mbaya bado sijakabidhiwa kazi rasmi yaani nipo kwenye kipindi Cha mafunzo, shida iko hapa.

Eneo lakazi nimekuta wafanyakazi wazoefu tu was muda, Kuna baadhi niwazuri was nyoyo lakini wengi e wanakunja kimafanikio,

Yani Kuna wengine kabisa nawaona wananitengenezea njia ilimradi niharibikiwe, bosi anione nuksi.

Mda mwingine nipo na mkufunzi wangu wa kazi Mara ghafla anapatwa na hasira, bila sababu, kwa bahati iliyo nzuri wanaonifanyia haya nimewafahamu, tatizo nikuruka vitimbwi vyao ndio nimeshindwa.

Naombeni msaada wenu, mwenzenu kazi bado naihitaji lakini changamoto ndio hio nawezaje kukwepa hivi vizingiti vyao.

Karibuni:
Kama huelewi ulitaka akuchekee?
 
Toa sadaka mungu akufanyie wepesi mambo yako,
Tafuta muhitaji wa sadaka na umpe hela ya kumtosheleza (50-100K sio mbaya), then omba mungu akuepushie na mitihan ikusibuye
Shukran Sana kwa ushauri
 
Back
Top Bottom