Wafariji wa wanawake waliotendwa tunafanya kazi ya Mungu

Wafariji wa wanawake waliotendwa tunafanya kazi ya Mungu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Ni wiki sasa Maryam ananipigia simu kila siku kila mara akidai anafarijika sana kuongea na mimi baada ya mpenzi wake wa muda mrefu kumtenda. Amekuwa akidai sauti yangu na maneno yangu yaliyojaa hekima na busara yanamtia faraja sana, yaani yanampunguzia machungu ya kutendwa.

Basi kwa siku huchukua takribani saa 1 nikiongea naye kwenye simu mambo mbalimbali ya kijamii,mahusiano na biashara na kidogo sana siasa. Kuchat ndio usiseme kidogo tu sms. Maryam anasema mimi ni mcheshi na mtu mwenye huruma,kitu ambacho mpenzi wake anakosa.
Wewe ndugu msomaji usiwaze ujinga kutaka kunihukumu, mimi sio mpenzi wa Maryam. Kifupi nimegeuka kuwa baba mchungaji wa Maryam.

Majanga yaliyomkuta sio mada, mada ni uwepo wa vijana maridadi tunaofariji wanawake waliotendwa na wanaume wao. Hakika tunafanya kazi ya Mungu na kitabibu kwa wakati mmoja. Taabu ya kazi hii ni pale shetani anapochochea na kukufitina. Hapa ndipo wanawake wengi hutamani kutulipa kwa kazi nzuri tuliyofanya. Hujikuta tunalipwa mapenzi bila kutumia jitihada zozote. Msukumo mkubwa hutokana na hao kina dada tunaowafariji, kutaka faraja kubwa zaidi.

Mtihani mzito kabisa ni pale unapojipa jukumu la kufariji mke wa mtu. Hili ni bomu la nyuklia. Na mimi nasema acha kufariji mke wa mtu labda tu awe ndugu yako na inajulikana hivyo.

Nasema hivyo kwa sababu mfariji wao nilitaka kuingizwa kwenye mtego. Huyu mfarijiwa alifunguka kila kitu ila akaficha kama ni mke wa mtu. Kumbe mumewe mkorofi haishi naye,yupo mkoa jirani. Ikabidi kabla ya kuendelea kumfariji nimchunguze kwanza. Kumbe wakati namfuatilia na mumewe ananifuatilia. Nikanasua mtego.

Kwa wafariji wenzangu mtaniunga mkono kwa kazi nzuri tunayofanya. Wafarijiwa mtakubali zaidi.
 
Kuna singo maza namfariji full kunipa zake zote mpaka inafikia point naona habakizi kitu.
Ni muajiriwa mpya kaja kuanza kazi Hapa ofisini na alikotoka kashapigwa chini yupo tu na mtoto.

Mimi nishaoa, nilikua nataka nimle ila kwa maumivu alopitia nikahairisha maana sitaki kumuongezea maumivu mengine.

Bas tu saivi namfariji huku mate yananitoka sijui itakuwaje maana shetwani na yeye Ana nguvu.
 
Kuna singo maza namfariji full kunipa zake zote mpaka inafikia point naona habakizi kitu.
Ni muajiriwa mpya kaja kuanza kazi Happ ofisini na alikotoka kashapigwa chini yupo tu na mtoto.

Mimi nishao, nilikua nataka nimle ila kwa maumivu alopitia nikahairisha maana sitaki kumuongezea maumivu mengine.

Bas tu saivi namfariji huku mate yananitoka sijui itakuwaje maana shetwani na yeye Ana nguvu.
Utamla ni Suala la Muda

Nyie wafariji ni Wapenzi wao ambao hamjajitambulisha rasmi ila Mtawala tu maana mnafanya kazi ambayo ilipaswa kufanywa na Waume zao au Mabwana zao

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Napenda sana kutumia mda wangu kuongea au kuwasiliana na mwanamke aliye umizwa kimapenzi.

Napenda sana kwenda outing na mwanamke aliyeumizwa kimapenzi, hasa awe open kuongea kufurahi kama kuburudika pia.

Shukrani yao ni huwa sisi kupewa uchi.
 
Niwe tu mkweli. Binafsi sijawahi kuwa mshauri wa mwanamke (awe mke wa mtu au la) halafu mwisho nikaacha kumtafuna.
Utamla ni Suala la Muda

Nyie wafariji ni Wapenzi wao ambao hamjajitambulisha rasmi ila Mtawala tu maana mnafanya kazi ambayo ilipaswa kufanywa na Waume zao au Mabwana zao

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Niwe tu mkweli. Binafsi sijawahi kuwa mshauri wa mwanamke (awe mke wa mtu au la) halafu mwisho nikaacha kumtafuna.
Yani Ukitoa faraja Basi Jua Umefanya jambo kubwa sana ambalo Jamaa yake Ameshidwa, Yani Umempa Attention ambayo haipati kwa Mwanaume wake Basi hapo Ni suala la Muda tu lazima Umwagie protein

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Miili yetu basi haina thamani tena. Sadly.

Wanawake inabidi tujiangalie upya kabla hatujaangamia.

Shukrani ya ngono? Like really??

Hawa itakuwa waliachwa kwa umalaya wao siamini a woman can just sleep around so easily!
 
Kumbe ndio mnajiita wafariji. Nahisi pia watu wa aina hii wapo wa jinsia zote mbili.

Nimewahi kukutana na mwanadamu ambaye kwa kweli ni entertainer, utapenda. Ilinichukua muda mfupi sana kumzoea na kuanza kucheza mdundo wake.

Ukiamka asubuhi lazima ukute romantic greetings matata kabisa, mchana akutakie lunch njema na utani wa hapa na pale, jioni upewe pole kwa kazi n.k. vitu ambavyo kwenye mahusiano yako ya msingi hauvipati kwa kiwango hicho.

Sema mie mwenzenu ni mgumu nyieee, sijui nipoje, huwa sishawishiki kirahisi. Kwa hiyo zilipita siku nyingi kweli nikiwa na-enjoy hizo care zake, na yeye akisubiri labda nikolee apige hatua inayofuata, akajikuta muda unapita bila mabadiliko makubwa. Yaani hakuna kumshobokea, heshima tu ikabaki constant. Baadae nadhani alikata tamaa, au alihisi malengo yake hayatatimia. Ghafla alibadilika na akaacha kila kitu alichozoea kunidekesha nacho.

Kwa sasa hata mawasiliano hayapo tena.

MFARIJI KAAHIRISHA ZOEZI[emoji19]
 
Kumbe ndio mnajiita wafariji. Nahisi pia watu wa aina hii wapo wa jinsia zote mbili.

Nimewahi kukutana na mwanadamu ambaye kwa kweli ni entertainer, utapenda. Ilinichukua muda mfupi sana kumzoea na kuanza kucheza mdundo wake.
Wewe ni boya sana..angalia sasa unavyomkumbuka na kuumia roho..kwani ungempa tunda ungepungukiwa nini....??
 
Kuna shemeji yangu(kwa rafiki), jamaa kamtenda na kumuacha...ishakuwa shida kwa kweli! Unasoma text, shemeji kuna kabaridi kanahamasisha sio poa, na kibubu kimejaa tangu ndugu yako aniweke pending! Sasa jichanganye uone unavyomla dem wa mshkaji. Unatakiwa kuwa smart kudeal na baadhi ya hawa ndugu zetu.
 
Ni wiki sasa Maryam ananipigia simu kila siku kila mara akidai anafarijika sana kuongea na mimi baada ya mpenzi wake wa muda mrefu kumtenda. Amekuwa akidai sauti yangu na maneno yangu yaliyojaa hekima na busara yanamtia faraja sana, yaani yanampunguzia machungu ya kutendwa.

Mtaliwa kimasihara
 
Kuna singo maza namfariji full kunipa zake zote mpaka inafikia point naona habakizi kitu.
Ni muajiriwa mpya kaja kuanza kazi Happ ofisini na alikotoka kashapigwa chini yupo tu na mtoto.

Mimi nishao, nilikua nataka nimle ila kwa maumivu alopitia nikahairisha maana sitaki kumuongezea maumivu mengine.

Bas tu saivi namfariji huku mate yananitoka sijui itakuwaje maana shetwani na yeye Ana nguvu.
Hongera kwa kumpakata singo maza.
 
Back
Top Bottom