Wafariki wakimgombania mwanamke

Wafariki wakimgombania mwanamke

Na wajiangalie, na wao wasije wakauwana baada ya kumuonja
Roho ya mauti ni noma. Hebu soma kifungu hiki.

LUKA 20
29Basi palikuwepo ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa, akafa bila kuzaa mtoto. 30Kisha yule wa pili akamwoa huyo mjane, naye akafa bila mtoto, 31naye wa tatu pia akamwoa. Vivyo hivyo ndugu wote saba wakawa wamemwoa huyo mwanamke, na wote wakafa pasipo yeyote kupata mtoto. 32Mwishowe, yule mwanamke naye akafa.
Kuna watu wana roho ya mauti, kila anaye ingia kwenye mahusiano naye, anakufa.
 
Polisi buana wanashangaza sana ,watu wamepigana kwa magongo wameuana kwa kumgombania khadija then polisi wanamtafuta binti khadija sijui wanataka wamuone anafananaje labda.

Kama kuchukua maelezo kwa khadija sio kusema kwamba wanamtafuta as if kama yeye ndio aliyewaua.
Lazima tupime utamu unaofanya watu wauwane,tujue amewapa kitu kitu gani kinachozid thamani uhai
 
Roho ya mauti ni noma. Hebu soma kifungu hiki.

LUKA 20
29Basi palikuwepo ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa, akafa bila kuzaa mtoto. 30Kisha yule wa pili akamwoa huyo mjane, naye akafa bila mtoto, 31naye wa tatu pia akamwoa. Vivyo hivyo ndugu wote saba wakawa wamemwoa huyo mwanamke, na wote wakafa pasipo yeyote kupata mtoto. 32Mwishowe, yule mwanamke naye akafa.
Kuna watu wana roho ya mauti, kila anaye ingia kwenye mahusiano naye, anakufa.

Kwa hiyo bi Khadija atakuwa na nuksi?

Polisi wamkamate mapema kabla haja sababisha mauji mengine....
 
Back
Top Bottom