Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Huyu si tayari?January Rajab yusuph makamba
Mbunge wa bumbuli ccm
FA anarudi.mh mwanafa?
Hapana kwani bunge lishavunjwa mkuu? C liliahirishwa tu ??Huyu si tayari?
Au ulikua offline muda mrefu?
Nusrat Hanje 😎Kila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
Wame mkataba vibaya sana, sema Jamaa ana mahela mengi sanaaHuyu si tayari?
Au ulikua offline muda mrefu?
Atafyekelewa mbaliNusrat Hanje 😎
Kwa kukubalika kupi,wakati ata 2020 alibebwaFA anarudi.
😄 🤣January Rajab yusuph makamba
Mbunge wa bumbuli ccm
😁😁 mda wake wa kuja kitaaAtafyekelewa mbali
Unataka Waitara alie kwa mara ya pili?Kila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
Sasa si atabebwa?Kwa kukubalika kupi,wakati ata 2020 alibebwa
Watu wansjitoa ufahamu.Wajumbe sio waamuzi wa mwisho. Kamati kuu inaweza kumteua yoyote hata Kama hakushinda kwa wajumbe
Hawa Yuda iskarioti wa hivi punde, wasirudi kabisaEster matiko
Ester Bulaya