G
guest-1790917349
Guest
Kwakweli nitasherehekeaHuyo babu tale watakua wamecheza sana hamna mtu
Kwakweli nitasherehekeaHuyo babu tale watakua wamecheza sana hamna mtu
Tatizo ni kuwa hata wajumbe wakiwakataa watarudishwa na kamati kuu!!! Kifupi mvhakato wa watia nia CCM ni kiini macho, hakuna haja ya kusumbua watu wakati wanaofanya maamuzi ni kamati kuu!!! Ndomana tunakuwa na wabunge wa ovyo wanaotumikia chama badala ya wananchiKila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
Atarudishwa na kamati kuu ila jimboni hana nguvu wala ushawishiFA anarudi.
Ni jambo jema kuona shabiki wa No Reforms, No Election akifuatilia na kuchambua wagombea wa CCM! Hii inadhihirisha msemo wa "CCM ni maji. Usipoyanywa, utayaoga, utayaoshea vyombo, utayapikia au yatakulowanisha kama mvua"! Ahahahahaha!!Kila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
Sio lunch mzee ni ranchNitafurahi sana kma Deo sanga akipigwa chini na kigwangala akachunge mifugo yake WAMI DAKAWA KULE LUNCH
Na hapo ndo nnapoona hakuna haja ya kusasumbua wajumbe kwa upuuzi huo. Kifupi mchakato wa kupata wagombea kwa ccm unaamuliwa na kamati kuu na si wajumbe na ndo sababu tunapata wabunge wa ovyo wanaoingia bungeni kuwatumikia waliowateua (chama) na si wananchiWajumbe sio waamuzi wa mwisho. Kamati kuu inaweza kumteua yoyote hata Kama hakushinda kwa wajumbe
Watu wa Bumbuli walikunywa supu baada ya jina lake kukatwa 😅January Rajab yusuph makamba
Mbunge wa bumbuli ccm
MBUNGE hewa kabisa huyu.Huyo babu tale watakua wamecheza sana hamna mtu
Asa Molell, Nusrat Hanje Wana midomo michafuWahamiaji wote waliotoka vyama vingine na kuhamia CCM they won't make it .
Kwamba CCM hawakufatilia uchaguzi wa Chadema JanuaryNi jambo jema kuona shabiki wa No Reforms, No Election akifuatilia na kuchambua wagombea wa CCM! Hii inadhihirisha msemo wa "CCM ni maji. Usipoyanywa, utayaoga, utayaoshea vyombo, utayapikia au yatakulowanisha kama mvua"! Ahahahahaha!!
Lagangabilili, Migato,Laini aiseee Itilima ni wilaya ya hovyo sijapata kuonaNjalu Daud - Jimbo la itilima hatoboi
Ondoa hanjeKila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
aende wapi?Ondoa hanje
Ni mbunge Anarudiaende wapi?
Kipenzi cha mama hicho! Kwa huyo, sahau.mh mwanafa?
Jamaa kakaa 10 years hakuna alichokifanya na anataka mitano Tena Kwa ujumla lazima ale thank you term hii.Lagangabilili, Migato,Laini aiseee Itilima ni wilaya ya hovyo sijapata kuona