riro23
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 790
- 781
Huyu ni mbunge tayari Hilo hakuna ubishi.Kwa kukubalika kupi,wakati ata 2020 alibebwa
Wagombea wenzake ni tia tia maji
Subir jumatatu uone.
Huyu ni mbunge tayari Hilo hakuna ubishi.Kwa kukubalika kupi,wakati ata 2020 alibebwa
2020 aliingia bungeni kwa hisani ya KirobotoKwa kukubalika kupi,wakati ata 2020 alibebwa
Innocent BashungwaKila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
Bashungwa Karagwe si naskia wanamkubaliInnocent Bashungwa
Huyo anarudi asubui na mapemaMsukuma akirudi hii nchi itakua na Matatizo
Huyo atatoa kamasi j3Unataka Waitara alie kwa mara ya pili?
Maradona wa MtamaKila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
Nitafurahi sana kma Deo sanga akipigwa chini na kigwangala akachunge mifugo yake WAMI DAKAWA KULE LUNCHKila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
Umemaliza kila kitu, Mkuu hapaWajumbe sio waamuzi wa mwisho. Kamati kuu inaweza kumteua yoyote hata Kama hakushinda kwa wajumbe
Kaa kwamba nijue majina ya hao bitch ili iwejeKigwangala anashinda,
Jifunze kuandika majina ya watu,
1. JESCA MSAMBATAVANGU huyu anashinda.
Ndugai nguvu itatumika arudi
Mwigulu Madelu NchembaKila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
Umemsahau Kitila Mkumbo, Ummy Mwaimu, Makamba, Kimei, Gambo.Kila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
Mkuu na wewe mbunge wako Ponjoro hapo Kino sijui kama atarudi.😄 ngj tuone
Ova
anaomba Barbara makati bunge linafungwa aise, pale waluguru hawana mbungeHuyo babu tale watakua wamecheza sana hamna mtu
Licha kwa sasa niko mbaliMkuu na wewe mbunge wako Ponjoro hapo Kino sijui kama atarudi.
Kitila atabebwaUmemsahau Kitila Mkumbo, Ummy Mwaimu, Makamba, Kimei, Gambo.
Njalu Daud - Jimbo la itilima hatoboiKila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
Kumekucha 😂Kila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee