Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Mwandishi kumbuka panga la wajumbe sahv ni butu lenye makali ni kamati kuu yenye uwezo wa kuamua chochote
Wakubwa samahani.kidog natoka nje ya mada kidog
Iv zile ajira za usimamizi wa uchaguzi...majibu yake yanalud vp
ina maana hujui kama tayari kafyekwa hatua ya mwanzo?January Rajab yusuph makamba
Mbunge wa bumbuli ccm
Watu wanajitengenezea mazingira ya kula vizur wao na watoto wao...Mnajisahau na ile katiba mpya ya ccm iliyowekwa juzi kwenye mkutano wa mtandao mkashingilia hiyo ndio katiba inayosema ccm inaweza kuamua vinginevyo mfano hata kama wajumbe wamemkata mtu ccm ikamchagua
Mbunge wa magu hata simjui jina wangefyekea mbaliKila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
Yule wa Mlimba mbona mnamsahauJanuary Makamba- Bumbuli,
Vedastus Mathayo Manyinyi- Musoma Mjini,
Kassim Majaliwa - Ruangwa,
Seif Gulamali- Manonga,
Mustafa Mansoor - Kwimba,
Charles Kajege- Mwibara,
Stephen Byabato - Bukoba Mjini,
Felix Kavejuru - Buhigwe,
Vangiringa Lukuvi -Ismani, nk
Ni anatumia mapesa kuwahonga wajumbe masikini ila hakubaliki.Bashungwa Karagwe si naskia wanamkubali
Mwanafa mmh sidhaniKila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
Wewe si chawa wa Lissu, masuala ya CCM yanakuhusu nini?Kila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee
Kuna wengine wanatoboa wameshajenga ufalme CCM licha ya kwamba ni wahamiajiWahamiaji wote waliotoka vyama vingine na kuhamia CCM they won't make it .
Hii sio 2020Wajumbe sio waamuzi wa mwisho. Kamati kuu inaweza kumteua yoyote hata Kama hakushinda kwa wajumbe
Mwana FA anaweza akarudi coz Adadi hayupo hapo.Kila siku tunashuhudia makumi ya waliokuwa Wabunge wakiaga rasimi ubunge baada ya kukatwa na kamati kuu, na wengine kufyekwa kwenye viti maalumu.
Wafatao ni Wabunge watakaofyekwa na wajumbe kesho kutwa.
Job Ndugai
Waitara
Ester matiko
Ester Bulaya
Kigwangara
Molell
Patrobas Katambi
DEO Sanga
Msativanga
Babu Tale
Mwana Fa
Dr Kimei
Nusrat Hanje
Ongeza wengine
Nileteeeni Wajumbeeee