GE2025 Wafatao ni Wabunge ambao kesho kutwa wanaaga rasmi ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Msukuma akirudi hii nchi itakua na Matatizo
 
Innocent Bashungwa
 
Maradona wa Mtama
 
Nitafurahi sana kma Deo sanga akipigwa chini na kigwangala akachunge mifugo yake WAMI DAKAWA KULE LUNCH
 
Mwigulu Madelu Nchemba
 
Umemsahau Kitila Mkumbo, Ummy Mwaimu, Makamba, Kimei, Gambo.
 
Mkuu na wewe mbunge wako Ponjoro hapo Kino sijui kama atarudi.
Licha kwa sasa niko mbali
Ila taarifa nnazopata huko
Abas ana chuana na nyamwiga,idd azan
Hapo ni mwenye nguvu ya hela atapita

Ova
 
Njalu Daud - Jimbo la itilima hatoboi
 
Kumekucha 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…