GE2025 Wafatao ni Wabunge ambao kesho kutwa wanaaga rasmi ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mwandishi kumbuka panga la wajumbe sahv ni butu lenye makali ni kamati kuu yenye uwezo wa kuamua chochote
 
Mnajisahau na ile katiba mpya ya ccm iliyowekwa juzi kwenye mkutano wa mtandao mkashingilia hiyo ndio katiba inayosema ccm inaweza kuamua vinginevyo mfano hata kama wajumbe wamemkata mtu ccm ikamchagua
 
Mnajisahau na ile katiba mpya ya ccm iliyowekwa juzi kwenye mkutano wa mtandao mkashingilia hiyo ndio katiba inayosema ccm inaweza kuamua vinginevyo mfano hata kama wajumbe wamemkata mtu ccm ikamchagua
Watu wanajitengenezea mazingira ya kula vizur wao na watoto wao...
 
Mbunge wa magu hata simjui jina wangefyekea mbali
 
January Makamba- Bumbuli,
Vedastus Mathayo Manyinyi- Musoma Mjini,
Kassim Majaliwa - Ruangwa,
Seif Gulamali- Manonga,
Mustafa Mansoor - Kwimba,
Charles Kajege- Mwibara,
Stephen Byabato - Bukoba Mjini,
Felix Kavejuru - Buhigwe,
Wiiliam Lukuvi -Ismani,
Godwin Kunambi- Mlimba,
Luhaga Mpina - Kisesa,
Godwin Mollel-Siha,
Mrisho Gambo- Arusha mjini,
Vita Kawawa,
Festo Ndugange - Wang'ing'ombe,
Stanslaus Mabula- Nyamagana,
Angelina Mabula- Ilemela,
Priscus Tarimo - Moshi Vijijini,
Ile ng'ombe ya kuruka sarakasi bungeni,
Michael Kembaki- Tarime Mjini,
Ole Sendeka-Simanjiro,
Pauline Gekul- Babati Mjini,
Emanuel Ole Shangay - Ngorongoro,
Mwita Waitara- Tarime DC nk
 
Yule wa Mlimba mbona mnamsahau
 
Mtemvu ulimi nje pale Kinamba, hana chochote cha kujivunia.
 
Mussa - Singida mjini
Mtaturu- ikungi mashariki
 
Mwanafa mmh sidhani
 
Wewe si chawa wa Lissu, masuala ya CCM yanakuhusu nini?
 
Mwana FA anaweza akarudi coz Adadi hayupo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…