Wanaume sita, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni kujibu shtaka moja la kutoa taarifa za uongo kuwa wameibiwa nyeti zao (uume) wakati wakijua kuwa ni uongo.
Washtakiwa hao ni Price Pius (26), Juma Abeid (26), Nurdin Nondwa (23), Yusuph Rashid (36), Sita Issa (24) na Mandieta Zongera (25), wote wakazi wa Dar es Salaam.
Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo Alhamisi Aprili 9, 2026 na kusomewa kesi zao kwa mahakimu wawili tofauti.
Pia soma:Kimara: Polisi walingilia kati kumuokoa aliyepigwa na Wananchi kwa kudaiwa kupoteza nyeti za mtu Mwanaume mmoja