Walimchochoa alipotezewa NyetiMlithibitishaje nyeti hazikupotea na kurudi??
UHURU JR
Hawajaenda jela wapo mahabusu ndo kwanza wanasomewa mashtakaJela kuzuri
Hao wanyongwe kabisa, laa sivo watuambie nani kawatuma.Wanaume sita, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni kujibu shtaka moja la kutoa taarifa za uongo kuwa wameibiwa nyeti zao (uume) wakati wakijua kuwa ni uongo.
Washtakiwa hao ni Price Pius (26), Juma Abeid (26), Nurdin Nondwa (23), Yusuph Rashid (36), Sita Issa (24) na Mandieta Zongera (25), wote wakazi wa Dar es Salaam.
Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo Alhamisi Aprili 9, 2026 na kusomewa kesi zao kwa mahakimu wawili tofauti.
Pia soma:Kimara: Polisi walingilia kati kumuokoa aliyepigwa na Wananchi kwa kudaiwa kupoteza nyeti za mtu Mwanaume mmoja
Point sio kupotea na kurudi, Point ni kuwajambisha waache upuuzi. Huu ujinga umecost maisha ya watu mkuu.
Kwa nini unasema ni upuuzi?Point sio kupotea na kurudi, Point ni kuwajambisha waache upuuzi. Huu ujinga umecost maisha ya watu mkuu.
Nawe kwa akili yako unaamini mtu anaweza iba nyeti?Kwa nini unasema ni upuuzi?
Kama mtu nyeti zake zimeibwa utamzuiaje kupiga kelele na kupatwa na taharuki mkuu??
Wenye tatizo ni hao wanaopiga na kuua watu wakati kabla hawajathibitisha nyeti kupotea.
Usiweke akili na imani katika kapu moja, hili ni suala la kiimani au kiroho tu, sio lazima kila mtu alielewe kwa sababu ni mambo ya ulimwengu wa roho.Nawe kwa akili yako unaamini mtu anaweza iba nyeti?
Hujajibu swali? Umeleta maelezoUsiweke akili na imani katika kapu moja, hili ni suala la kiimani au kiroho tu, sio lazima kila mtu alielewe kwa sababu ni mambo ya ulimwengu wa roho.
Swali lako lina makosa ya kimantiki.Hujajibu swali? Umeleta maelezo
😅 si unaona mambo ya imani yalivyo 😅Hujajibu swali? Umeleta maelezo
Watu wa imani leo wanapinga swala la kiimani wanataka uthibitisho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😜😜Swali lako lina makosa ya kimantiki.
Nawe umekuwa Kiranga siku hizi?Swali lako lina makosa ya kimantiki.
Imani inaweza kuwa ya dini au ushirikina,hapa ni imani ya ushirikina😅 si unaona mambo ya imani yalivyo 😅
Tuna kizazi cha hovyo sana kwakweliWapuuzi kama hawa ndio walisababisha watu 5 wachomwe moto tunduma kwa tuhuma za kupotea nyeti.
Inashangaza sana! Huu ni mkanganyiko mtupu.Watu wa imani leo wanapinga swala la kiimani wanataka uthibitisho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😜😜