Wafikishwa mahakamani kwa kudaiwa kutoa taarifa za uongo kuwa wameibiwa nyeti

Wafikishwa mahakamani kwa kudaiwa kutoa taarifa za uongo kuwa wameibiwa nyeti

Hii nchi ina vijana wajinga kweli kweli. Mtu aibe nyeti akafanyie nini. Halafu mijitu haijiulizi iweje wanume tu ndio wanaobiwa nyeti zao lakini hakuna wanawake walilolalamika kuibiwa nyeti zao mpaka sasa.

Mijitu imeshajjejengea hofu kiasi ikiguswa tu bega hata kwa bahati mbaya basi inapata hofu mshedede unarudi tumboni (ambalo ni jambo la kawaida kabisa) halafu anapiga kelele kaibiwa nyeti na wajinga wenzie wakifika hata hawaulizi wala hawa "reason" badala yake ni ushabiki tu wa kijinga wanapiga watu mpaka wanaua watu wasio na hatia. Matokeo yake watu wakimkagua mtu anyelalamika kaibiwa nyeti wanakuta nyeti yake ipo lakini imekuwa ndogo wanajuaje kama huyo mtu alikuwa na nyeti ndogo a.k.a kibamia toka mwanzo?
 
Police watathibitishaje nyeti hazikupotea na kurudi??
UHURU JR buzitata
Bila shaka kuna watu wanasukuma kete kupima ama kujaribu kuileta jamii pamoja kupitia hofu ya kupikwa

Hilo lilianzia nchi jirani naona lilileta matokeo mazuri sio mbaya likatumika na hapa kwetu ili mioyo ya watu ipunguze machungu na kupisha maisha yaendelee
 
Utani kama huu unaweza jikuta ukapoteza miaka 3 jela.
 
CCM wametufikisha mahali pabaya sana kama Taifa! Sijajua nje ya mipaka ya nchi yetu huwa wanatuonaje wakisikia mambo ya kipuuzi kama haya eti yanatokea kwenye karne hii ya 21.
 
Back
Top Bottom