ccmWanaoamini uchawi waende kuwatetea.
Wale wanaotuambia Jela kubaya huwa siwaelewi
uvccm kabisa hawa😂.. Hizi ni drama tu hakuna atakayefungwa hapo!Wanaume sita, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni kujibu shtaka moja la kutoa taarifa za uongo kuwa wameibiwa nyeti zao (uume) wakati wakijua kuwa ni uongo.
Washtakiwa hao ni Price Pius (26), Juma Abeid (26), Nurdin Nondwa (23), Yusuph Rashid (36), Sita Issa (24) na Mandieta Zongera (25), wote wakazi wa Dar es Salaam.
Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani hapo Alhamisi Aprili 9, 2026 na kusomewa kesi zao kwa mahakimu wawili tofauti.
Pia soma:Kimara: Polisi walingilia kati kumuokoa aliyepigwa na Wananchi kwa kudaiwa kupoteza nyeti za mtu Mwanaume mmoja
Mbona madaktari huwa hawawatetei wale madaktari feki wenye kukamatwa?Wanaoamini uchawi waende kuwatetea.
Hawa ni waathirika wa uchawi(waliteswa nyeti) sio wapoteza nyeti, sijawahi kuona wagonjwa waliotibiwa na madaktari feki wakikamatwa.Mbona madaktari huwa hawawatetei wale madaktari feki wenye kukamatwa?
Aliyepotezwa nyeti zake zilirudi??Mkata ,Tanga. Jana jioni kuna afisa kata amenusurika kuuwawa kwa hili jambo.Tulipita hapo jamaa alipigia sana
Mzima na Nyeti alikuwa nazo..Uhuni uhuni tuAliyepotezwa nyeti zake zilirudi??