Wafikishwa mahakamani kwa kudaiwa kutoa taarifa za uongo kuwa wameibiwa nyeti

Hao wanyongwe kabisa, laa sivo watuambie nani kawatuma.
 
Point sio kupotea na kurudi, Point ni kuwajambisha waache upuuzi. Huu ujinga umecost maisha ya watu mkuu.
Kwa nini unasema ni upuuzi?
Kama mtu nyeti zake zimeibwa utamzuiaje kupiga kelele na kupatwa na taharuki mkuu??
Wenye tatizo ni hao wanaopiga na kuua watu wakati kabla hawajathibitisha nyeti kupotea.
 
Kwa nini unasema ni upuuzi?
Kama mtu nyeti zake zimeibwa utamzuiaje kupiga kelele na kupatwa na taharuki mkuu??
Wenye tatizo ni hao wanaopiga na kuua watu wakati kabla hawajathibitisha nyeti kupotea.
Nawe kwa akili yako unaamini mtu anaweza iba nyeti?
 
Watu wa imani leo wanapinga swala la kiimani wanataka uthibitisho 🀣🀣🀣🀣🀣🀣😜😜
Inashangaza sana! Huu ni mkanganyiko mtupu.

Total and complete contradiction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…